Hali ya wanachuo mtaani

Hali ya wanachuo mtaani

Huyu mwanamke ana Entrepreneur mind set within a year ame face reality nakujua kuna maisha mengine kabisa baada ya kumalizia UN na kuhakikishia brother huyu mwanamke mpe muda mfupi utakuja kushangaa anakuwa na restaurant ya maana kama hato kataa tamaa.

Kosa ulilo fanya ni moja tu ungempa hope na kumwambia umashagua kitu cha kufanya kilicho sahihi kuliko kusubiri ajira.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
Hujui kama mwanamke anamajukumu mengine ya kuzaa na kulea
 
Tatizo vijana wa ckuiz Ni wavivu kupitiliza,Yaani kijana akishahitimu elimu ya chuo utamuona akizunguka maofisini na bahasha kutafuta white collar jobs ambazo Ni ngumu kupatikana.

Vijana wanatakiwa wajiongeze wajifunze kazi za mikono ambazo zitawawezesha kujiajiri.
Kuongea ni rahisi ila kiuhalisia kujiajiri ni ngumu sana kwa vijana wa chuo unamaliza chuo una miaka 27-29 kijana hana mtaji atatokaje umri huo
 
Back
Top Bottom