Ndo maana nikimaliza gamba langu hili, nataka miende hotel management n tourism, nikitoka hapo niwe mpishi au muongoza watalii.Tatizo vijana wa ckuiz Ni wavivu kupitiliza,Yaani kijana akishahitimu elimu ya chuo utamuona akizunguka maofisini na bahasha kutafuta white collar jobs ambazo Ni ngumu kupatikana.
Vijana wanatakiwa wajiongeze wajifunze kazi za mikono ambazo zitawawezesha kujiajiri.



kunalipaa aseee.Serikali haiwezi kukuwekea mazingira wala kukupa mtaji, ni wewe na familia yako mjiongezeNi kweli.Je hawa wahitimu wanawekewa mazingira mazuri ya kujiajiri?
Majobless tumebaki kubet tu balaaa
Mimi madogo wa chuo nawaambiaga hakikisha kabla ujamaliza boom la mwsho ununue viwalo vya kutosha
Depo la mtaani huku utavaa boksa inaisha hadi inabaki na kamba kama nanga
Serikali iangalie kama inashindwa kuaccomodate graduates basi waombe mazingira vijana wakajarbu ng'ambo





ila kweli wanachuo wakiwa mtaani wanakuwa aje sijui. UwiiiiihsHida ipo hapo,sisi wazee wa kukariri ukiingia kwenye interview lazima ujichanganyeSasa kama wamezoea kukariri wategemea nini?
Siyo serikali, sema serikali nyingi za kiafrika ikiwemo serikali ya JMT!.Serikali haiwezi kukuwekea mazingira wala kukupa mtaji, ni wewe na familia yako mjiongeze
Baada ya ugunduzi wa gesi, wachina waliojenga Bomba wakatoa scholarships za watu kusomea Petroleum and related fields, watu wakahamasishwa, serikali ikachukua the best kusomea hiyo course.Petroleum ilikua ni faculty ya kisiasa?? How?
Mmh sawa serikaliSerikali haiwezi kukuwekea mazingira wala kukupa mtaji, ni wewe na familia yako mjiongeze
Kuna watu wamekuwa wasuka nondo wakutegemewa ila hawajawahi enda veta wala wapi, ila haumchengi kwenye kusuka nondo, muda mwingine wanawakosoa hadi structural eng,Uzoefu unapata Kwa kufanya vibarua..
Hao civil engineers hawataki kufanya vibarua
Watanzania wengi wanafundishwa kujibu mitihani.sHida ipo hapo,sisi wazee wa kukariri ukiingia kwenye interview lazima ujichanganye
Hahaaaaa we kijana...Kuna dada mmoja alikuwa pini sana chuoni..kamaliza mwaka jana..nilimfukuzia sana lkn wapi alikuwa anaweka ngumu sana( nadhani alikuwa na mshkaji wake) sasa mwaka huu nipo kwenye mishemishe zangu si nikakutana nae sehemu anauza vitumbua...ameisha...ule uzur wake umepungua haswaaaaa...yani alishtuka kuniona akawa anavunga tu...nikamuungisha nikasepa zangu
Sikutaka kufanya lolote kwan nilijua tu huyu safar hii hachomoi..na zigo lote litaniangukia mm(gharama za kumtunza)
ila serikali inacho wafanyia graduates, bas tyuuh kwa kweli.
Serikali imefanya kinachotakiwa, imejenga vyuo, imekopesha watanzania wasome, Suala la ajira sio la Serikali ni la akili ya mtu, wapumbavu wataendelea kusubiri ajira, wale waliokuwa wajinga wakaelimika kwa msaada wa Serikali tupo nao mtaani wanasongesha maisha.
Indeed you have a very awesome target, I reckon this gameplan of your's will see you through financial constraints out there.Ndo maana nikimaliza gamba langu hili, nataka miende hotel management n tourism, nikitoka hapo niwe mpishi au muongoza watalii.
kunalipaa aseee.
Ndo maana nikimaliza gamba langu hili, nataka miende hotel management n tourism, nikitoka hapo niwe mpishi au muongoza watalii.
kunalipaa aseee.
Kheeeeh makubwaaa haya, duuh sasa kwann inaendelea kuwepo. Bas ifutwee tyuuh.Baada ya ugunduzi wa gesi, wachina waliojenga Bomba wakatoa scholarships za watu kusomea Petroleum and related fields, watu wakahamasishwa, serikali ikachukua the best kusomea hiyo course.
Wakasoma, walipomaliza Utawala ukabadilika, ukasitisha uwekezaji wote
Petrobas, Stateoil waliokuwa wakifanya utafit deep sea wakaahirisha utafiti na kurudi kwao maana mazingira ya uwekezaji yalikuwa hayako upande wao.
Halliburton walikuwa na Ofisi zao karibu na India CC nao wakaondoa.
Ukijaribu ona, ni siasa ndo chanzo cha yote kutokea
Wanaosoma wana ndoto labda mradi wa LNG utawaokoa, vinginevyo waombe kazi Oilcom, Lakeoil, WorldOil, Camel etcKheeeeh makubwaaa haya, duuh sasa kwann inaendelea kuwepo. Bas ifutwee tyuuh.
Huko kwenyewe kupata ni connection, huyu jamaa nlishawahi kukaa nae kuzungumza, aliomba Oil com na Lake oil kule kule home, cha ajabu alikataliwa katuuuu.Wanaosoma wana ndoto labda mradi wa LNG utawaokoa, vinginevyo waombe kazi Oilcom, Lakeoil, WorldOil, Camel etc
Kama sio mwenzao hupewi unaeza hujumu kampuniHuko kwenyewe kupata ni connection, huyu jamaa nlishawahi kukaa nae kuzungumza, aliomba Oil com na Lake oil kule kule home, cha ajabu alikataliwa katuuuu.
Yaan hadi namuonea huruma kwa kweli, kaamua achukue bajaji na kuwa afisa usafirishaji.