Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,807
- 17,358
Bora mtu Sasa asisome,wengine sie hata ajira ziwe wazi wazi, kuna vigezo vinatutoa nje ya mfumo.
Na tusharidhikaaa, polee zao wenye matarajio ya ajira, wanabaki kufurahishwaa km sio kushangazwaa,
Jamaa wa Petroleum anaendesha bajaji, GPA 3.8
Namuangalia nasemaa hiiii,![]()




. Pale kijana anapotoka chuo na matarajio makubwa Lakini ghafla maisha ya mtaa yanazima ndoto zake.
Yapi matunda ya mfumo wetu wa Elimu? Au ni uzembe wa vijana kutojituma wawapo mtaani?
.
. Au siyo.