Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

Kiukwel viongozi katika sekta ya elimu ndo wanaochangia zaidi katika kudidimiza walimu..

Kuna ndug yangu Ni mwalimu,.alianza na diploma baadae akaenda kujiendeleza ,akapata degree yake ya sayansi baadae akarudi kuendelea na majukumu yake ,..akatumikia miaka minne na baadae akaomba kubadilishiwa muundo wa kiutumishi kutoka diploma kwenda degree,..

Wakafanya hvyo,..na alipaswa kupanda daraja wakati huo huo Kama taratibu zinavyosema,..matokeo yake wakamwambia kuwa hatopandishwa daraja mpaka atumikie Tena miaka minne..jamaa akataka kujinyonga kwa kukosa Haki yake ,..viongozi wa TSC wanachangia Sana kushusha morale za walimu kwa kweli serikali isipowaangalia Hawa..Basi walimu wengi wataacha kazi,..na watakaondelea kufanya kazi hii hawatoendelea kuifanya kwa moyo...
Viongozi wa nchi almost wote ni matapeli
 
Nawamepanga kufelisha tu kudadeki mpaka serikali ione kweli wanahitaji kuongezewa maslahi



Nimeshangaa safari hii matokeo ya mitihani yalivyotoka!

Inavyosemekana walikuwa wakimuogopa JPM Yani ufaulu ule ulitia shaka !

Sasa hivi Kwa hiyo wanambip @ Madam Presidente ? Au ?

Wafanye kazi honestly bila hila yoyote maana ndio kazi walochagua Au kujikuta wanayo!
 
Nimeshangaa safari hii matokeo ya mitihani yalivyotoka!

Inavyosemekana walikuwa wakimuogopa JPM Yani ufaulu ule ulitia shaka !

Sasa hivi Kwa hiyo wanambip @ Madam Presidente ? Au ?

Wafanye kazi honestly bila hila yoyote maana ndio kazi walochagua Au kujikuta wanayo!
Wawape posho watafanya kazi Kwa haki
 
Sheria inasema mtumishi wa serikali akiwa nje ya kituo chake cha kazi alipwe posho ya kujikimu kwa kila siku awapo huko nje ya kituo chake. Kiwango cha chini huko mijini haipungui elfu 80 kwa usiku mmoja... Sasa hebu piga hesabu kwa siku 30...
 
Kazi ya mitihani ya taifa ni kazi maalumu kama zilivyo kazi nyingine za kiutumishi ambazo malipo yake yanalipwa kwa mujibu wa posho nje ya kituo ambayo ina muongozo wa ulipaji, sasa shangaa mwalimu malipo yake hayafuati muongo wowote wa posho za nje ya kituo zaidi ni baraza kujipangia wanavyotaka hakuna cha waraka wa posho unaofuatwa, walimu ni manamba walioajiriwa, hata kwenye haki yake ataambiwa awe mzalendo
Kwani hawawezi kugomea huo ukandamizaji?
 
Una tatizo gani na walimu lakini? Why this obsession? Walikufanyia nini?

View attachment 2471940
Wewe ndiye una tatizo kwa sababu alichokiripoti, kama ni kweli, basi hiyo siyo haki kwa sababu kuna viwango vya serikali vya kulipa posho watumishi wake wawapo nje ya vituo vyao. Tena kwa taarifa yako mwaka jana wamepitisha rate mpya za posho mpaka 250,000/= per night...
 
Ila we jamaa ni mwalimu na umekosa sehemu ya kutolea malalamiko ndio maana kila siku unakuja na Uzi wa walimu, KUNA JAMBO LINAKUKEREKETA UNAKOSA PA KUSEMEA, hakuna mtu mwenye mda wa kufuatilia haki za wengine na Mambo ya watu wengine kama YUPO BUSY na Mambo yake. Una psychological problem inabidi utibiwe, nenda kituo chochote cha afya au kwa mwanasaikolojia kabla hujaathirika zaidi. Hakika nyuzi zako nyingi ni kuhusu kada hio. Hii ni dalili ya depression. ENYI WASOMA COMMENTS MCHUNGUZENI SANA HUYU HUENDA ANA STRESS AU DEPRESSION.
Nadhani wewe utakuwa ni Mwalimu na hupendi kukosolewa, possibly umeridhika na hiyo hali. Ukiona mtu ana post issue mara kwa mara it means huko alikopeleka malalamiko hakuna msaada. Yule nesi aluyerekodiwa juzi akimjibu hovyo mwenzake wa maabara unadhani kwa nini walimrekodi na kurusha mitandaoni?
 
Back
Top Bottom