Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,133
- Thread starter
- #141
Tunaishi nao mitaani huwa wananiambia wakipata mtonyo hii kazi wanaikimbiaHaya mambo unayajulia wapi ndugu mpwayungu village! Wewe siyo Mwalimu kweli!! Au unakaa kwa ndugu yako, na ambaye ni mwalimu!!
Maana unawafahamu Walimu kuliko hata wenyewe wanavyo jifahamu!! [emoji848]