Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

Serikali iwaangalie walimu kama watumishi full stop
Hahaha,sasa ndio ulipaswa kuja na uzi wa kudai maslahi yaongezwe na sio kuja na kivuli cha matokeo mabovu.

Wakati huo huo waambie walimu, shule binafsi wanafunzi wakifeli sana somo lako, mwalimu unafukuzwa kazi.
​
 
Shida ni kuwa wanadharau sana wengi wao hasa wakichukua hiyo mikopo akajenga kichuguu na kununua magari ya watoto wanaona maisha wamemaliza

Hapo sijaongelea hilo gari kuendeshwa tarehe 23_27 baada ya hapo ni kutembea tu.

Mijinga mijinga sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mrembo usicheke kalichunguze hilo leo .

Yaani kwenye familia yenu kama yupo mwalimu basi ikitokea shida mpime ni vipi anatatua shida iliyo mbele yenu ni watu wa mihemuko na poor thinking ability

Hapo sijagusia yakikaa ofisini utayasikia mwaka huu nataka nikajiendeleza huko kwenye kujiendeleza sasa kiswahili hayajui kingereza hayajui ni kuungaunga na mwisho yanarudi kazini no kupanda daraja wala nini ila bla bla kibao mara oooh nataka kuhama kada [emoji16][emoji16]

Nani kasema basi yanajikuta yanazeeka na umasikini wao hapo sijaongelea kuyakuta kwenye vijiwe yanahesabu gari za watu mara ooh hili gari la fulani mara la yule [emoji16][emoji16]

Hayo ya kiume ya kike yakiona unapendeza basi ukitongoza ni kuteleza tu unayabandua tu .

Sasa haya ya kiume hela hayana yana vigari vya watoto vya mikopo ni mwendo wa kuendesha mshahara ukitoka ila sasa yakute yanajadili maisha ni vichekesho mara nataka kuanzisha mradi wa kuku[emoji16][emoji16] mradi wenyewe ni mpaka akope konyo kweli .

Hapo bado sijazungumzia kuzaa yanazaa sungura wakasome ni mwendo wa kila mtoto anakuja na baraka zake

Yaani kikubwa yanapokea hizo posho mwisho wa mwezi unakuta katicha miaka 26 watoto wanne na yule wa miaka 46 naye ana mimba

Alafu afterall walimu wengi wametoka poor families so wakibahatika kuajiliwa hujihisi wamemaliza kila kitu hapo ndiyo uanza kufosi jamii za walikotoka na ndugu zao wawaabudu .

Ualimu ni laana kataa ualimu kataa ualimu .

Mimi hawa watu sijawahi kuwaelewa na sitokuja kuwaelewa mpaka wakiwa na akili

Povu ruksa.
 
Hahaha,sasa ndio ulipaswa kuja na uzi wa kudai maslahi yaongezwe na sio kuja na kivuli cha matokeo mabovu.

Wakati huo huo waambie walimu, shule binafsi wanafunzi wakifeli sana somo lako, mwalimu unafukuzwa kazi.
​
Shule binafsi mazingira ya kazi yamerahihishwa na ndio maana ni rahisi kumuondoa mwalimu kazini,sasa Shule ya serikali mwalimu darasani wanafunzi 200,vitabu vitabu 20,huku anadai likizo,promotion huku wamedhulumiwa fedha ya kumsimamia hata ukisema umfukuze hata hamu yenyewe unatoa wapi?
 
Mrembo usicheke kalichunguze hilo leo .

Yaani kwenye familia yenu kama yupo mwalimu basi ikitokea shida mpime ni vipi anatatua shida iliyo mbele yenu

Alafu afterall walimu wengi wametoka poor families so wakibahatika kuajiliwa hujihisi wamemaliza kila kitu hapo ndiyo uanza kufosi jamii za walikotoka na ndugu zao wawaabudu .

Ualimu ni laana kataa ualimu kataa ualimu .

Povu ruksa.
Ualimu ni laana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shule binafsi mazingira ya kazi yamerahihishwa na ndio maana ni rahisi kumuondoa mwalimu kazini,sasa Shule ya serikali mwalimu darasani wanafunzi 200,vitabu vitabu 20,huku anadai likizo,promotion huku wamedhulumiwa fedha ya kumsimamia hata ukisema umfukuze hata hamu yenyewe unatoa wapi?
Walimu waserikali wanafundisha kwenye mavumb
 
Tatizo la taaluma hii ya ualimu watu wengi waliirukia bila kuwa na utashi/wito wa shughuli hii na ndio hao wanaolia lia hapa, wakati wa kuchagua fani tuwe tunatafakari kwa kina kwanza je shughuli hii nafsi inaipenda kwa dhati.?
 
Ficha utahila wako
 
Mwalimu ana mda mwingi baada ya vipindi vyake ila haruhusiwi kutoka kituo cha kazi mpaka muda wa shule Kwa kutwa uishe yaani mpaka saa nane na nusu hata kama hana kipindi siku inampasa awepo, sasa wewe jifanye mjuaji uone walimu wenzako akiwemo na mkuu wako watakavyokusagia kunguni siku usipofika shuleni eti useme Sina vipindi nipo kitaa kufanya biashara zangu, kesho utakuta barua ya onyo kesho kutwa utapigiwa simu na afisa elimu upewe onyo siku ijayo utaitwa na kamati ya maadili Kwa utoro baada ya hapo utakatwa asilimia kumi na tano ya mshahara wako kama adhabu ikibidi utastopishwa kabisa mpaka TSC watakapoamua kukusamehe. Walimu Kwa walimu ni nyoka
Haya mambo unayajulia wapi ndugu mpwayungu village! Wewe siyo Mwalimu kweli!! Au unakaa kwa ndugu yako, na ambaye ni mwalimu!!

Maana unawafahamu Walimu kuliko hata wenyewe wanavyo jifahamu!! 🤔
 
Tatizo la taaluma hii ya ualimu watu wengi waliirukia bila kuwa na utashi/wito wa shughuli hii na ndio hao wanaolia lia hapa, wakati wa kuchagua fani tuwe tunatafakari kwa kina kwanza je shughuli hii nafsi inaipenda kwa dhati.?
Umezungumza ukweli wengi wito hawana na mwisho wanaishi maisha ya kujikatia tamaa
 
Tatizo la taaluma hii ya ualimu watu wengi waliirukia bila kuwa na utashi/wito wa shughuli hii na ndio hao wanaolia lia hapa, wakati wa kuchagua fani tuwe tunatafakari kwa kina kwanza je shughuli hii nafsi inaipenda kwa dhati.?
Achana na hizo habari kinachozunguzwa hapa ni maslahi halali yaliyopo kwenye mkataba WA KAZI na sio Tamara binafsi,hivi kama imeandikwa kwenye mkataba WA KAZI ukitoka nje ya kituo cha KAZI unapaswa kulipwa posho Kwa mujibu WA cheo chako na siku utakazofanya hiyo KAZI,halo sio kosa lako kuchagua KAZI Bali muajiri anakudharau na anakuona zuzu
 
Back
Top Bottom