Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

mkuu samahani nimeingilia sio sehemu yangu, mimi sio mwalimu, sikujua kama nauli ipo humohumo. niwashauri tu walimu na watumishi wengine kwenye masuala yenu yote kuhusu ajira na maslahi yenu,mngeanzisha majamvi yenu, huku mkatuachia sisi akina yakhe tunaoongelea masuala sio maswala. maana mtatutukana mnomno
Hili jukwaa la hoja mchanganyiko ni kuanzia siasa mpaka mapenzi ruksa
 
Yani unakuta mwalimu kavubaa kachoka ananuka kama manamba wa kikoloni, hivi umasikin wao ndowawafanye vikaragosi kweli? Mwalimu akinunua Maji ya dukani nahisi mpaka takukuru watafika kuhoji hiyo pesa kapata Wapi
Hii siyo kweli mkuu. Yaani unataka kuniambia walimu ndio watu masikini kabisa hapa Tanzania kuliko raia wengine wote?, huu utafiti umeufanya wapi?

Yes......najua walimu hawana malupulupu, lakini huwezi kuniambia kuwa wana hali hiyo unayoisema.

Mkuu jifunze kuwatetea walimu pasipo kuwavunjia heshima yao. Mtu mwenye akili nzuri na busara hawezi kuwabeza watu waliomfundisha hata kama watu hao ni masikini.
 
Ndugu zangu hii kada imesahaulika au ni serikali inafanya kuwapuuzia? Just imagine jana nimekutana na mwalimu mmoja jina lake siwezi kulitaja ananiambia wiki mbili zilizopita wametoka kwenye usahihishaji wa mitihani yeye ni mwalimu wa sekondari anafundisha mtwara ila akaenda kusahihisha mitihani shinyanga ndoalikopangiwa akasahihishe mitihani ya taifa

Ajabu ni kuwa mwezi mzima wa kusahihisha Ile mitihani kwanzia asubuhi mpaka usiku wamekuja kupewa 520000, hizi ni dharau Ina maana Kwa siku anafanya kazi ya 15000 ivi Hakuna mikataba kwenye hizi kazi? Maana kabla ya kusahihisha inabidi waambiwe watapewa kiasi flani Kwa siku

Mbaya zaidi ukute ambao hawasahihishi Ile mitihani ndowanapewa posho nene zaidi ya million tano, kama sio rushwa basi Kuna utapeli ndani yake. Mwalimu analipwa mshahara mwisho wa mwezi tu baada ya hapo Hakuna chochote kile anapata hapa katikati ya hizi siku

Just imagine ticha analipwa laki nne Kwa mwezi hapa Katikati matatizo yakatokea akatumia laki Tatu na nusu akabaki na 50000 bado siku 20 ndomshahara uingie bado huyu mtu Ana watoto na Familia na wazazi. Anaishije zaidi yakuingia kwenye madeni na fedheha zisizokuwa na msingi

Matokeo ya form two yametoka mabovu kuliko miaka yote iliyopita kwasababu motivation ya kufundisha haipo hata wanapoenda marking wanafanya Kaz Kwa stress tupu Sasa Matokeo ndio hayo wanafunzi wanafeli nawatafeli mpaka mtakapowatazama walimu Kwa jicho la upendeleo View attachment 2471613
Hapo kwenye 15000, lazima wanaolipa kwenye makaratasi wameongeza 0.Niamini mimi.

Hakuna posho ya elfu 15 tu kwa siku nchi hii.
Kama ni wizi umepitiliza umekuwa ni ukatili dhidi ya ubinadamu.
Hata hivyo sina uhakika kama kuna mtu atasikiliza kilio hiki

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Ivi una akili wewe, hiyo laki tano mtu utoke mtwara kwenda shinyanga? Go and return nauli sio chini ya laki na nusu Kwa Sasa bado njiani inabidi ule na ulale gest kabla ya kituo na baada ya kazi kurudi nyumbani, hapo unafika home una laki mbili tu

Hawa watu sijui akili ziko masabuli?
 
Tuwekee na matokeo ya mpwayungu village basi! All in all, uko sahihi kabisa. Kazi ya ualimu ni ngumu sana.

Huwezi kuilinganisha na kazi nyingine, kutokana na ukweli kwamba hiyo kazi haina posho, semina , warsha, safari za hapa na pake, nk. Nje ya kusimamia na kusahihisha mitihani, mwalimu anatakiwa kusubiri mpaka mwisho wa nwezi.

Rai yangu kwa walimu wote nchini; You goverment scool teachers, work under minimum stress!! Fanyeni hiyo kazi kwa asilimia chache tu! Walau hata 40% zinatosha. Hizo 60% zinazobakia, fanya kila aina ya mbinu uzitumie kwenye mambo yako binafsi.

Kama serikali imechagua kukudharau, kwa nini wewe uiheshimu? Wao wanalipana mishahara na posho nono! Ukiwakuta mashavu yamenono! Matumbo yanataka kupasuka! Wewe unatelekezwa mpwayungu village ukiwa huna nyumba ya kuishi, wala chombo cha usafiri! Nguo zimechakaa, viatu vimeisha soli kwa sababu ya safari zisizoisha za kupeleka taarifa za wanafunzi Halmashauri!

Ukijiroga kukopa ili ujenge kakibanda ka kujisitiri; mpwayungu village anakuja tena humu kukucheka kupitia hiyo salary slip yako iliyojaa makato! Ni vizuri mkaamka mapema kutoka usingizini. Watoto wenu watakuja kuyapiga mawe makaburi yenu, iwapo mtatumia muda wenu wote kwenye hii kazi inayo dharauliwa na kila mtu kwenye jamii.
Mwalimu ana mda mwingi baada ya vipindi vyake ila haruhusiwi kutoka kituo cha kazi mpaka muda wa shule Kwa kutwa uishe yaani mpaka saa nane na nusu hata kama hana kipindi siku inampasa awepo, sasa wewe jifanye mjuaji uone walimu wenzako akiwemo na mkuu wako watakavyokusagia kunguni siku usipofika shuleni eti useme Sina vipindi nipo kitaa kufanya biashara zangu, kesho utakuta barua ya onyo kesho kutwa utapigiwa simu na afisa elimu upewe onyo siku ijayo utaitwa na kamati ya maadili Kwa utoro baada ya hapo utakatwa asilimia kumi na tano ya mshahara wako kama adhabu ikibidi utastopishwa kabisa mpaka TSC watakapoamua kukusamehe. Walimu Kwa walimu ni nyoka
 
Hayo malipo ya 520 hayawezi kuhusisha nauli bila shaka!
Ninachofahamu safari za kiserikali zote mtumishi hupewa nauli kulingana na muongozo uliopo pamoja na fedha ya kujikimu njiani ikijumuisha kulala kama safari ni ya mbali!
Malipo yatokanayo na kazi anayokwenda kuifanya kwa afisa yeyote wa serikali yanakuwa tofauti na nauli.
Muulize huyo mwl kama hakupewa nauli, tena yawezekana nauli aliyopewa ni zaidi ya 520k.
Hawajapewa ndugu yangu, nauli ni juu yako hilo unalosema wewe ni kipindi cha kikwete saizi wakina kinana na makamba wanalamba asali
 
Wacha wanyioshwe. Kwanza ndio wafanyakazi wa Serikali wajinga kuliko wengine kwenye nchi hii.
Wakiitwa kwenye vikao na wakuu wa nchi hawezi Hata kujieleza
Wakipewa posho ya kikao tu wanalewa akili
Hawa ni hovyo na form four zao za kata
Ndio wanaotuharibia nchi na vizazi vyetu vijavyo

Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
Hhhahaha ngoja watepete
 
Ndugu zangu hii kada imesahaulika au ni serikali inafanya kuwapuuzia? Just imagine jana nimekutana na mwalimu mmoja jina lake siwezi kulitaja ananiambia wiki mbili zilizopita wametoka kwenye usahihishaji wa mitihani yeye ni mwalimu wa sekondari anafundisha mtwara ila akaenda kusahihisha mitihani shinyanga ndoalikopangiwa akasahihishe mitihani ya taifa

Ajabu ni kuwa mwezi mzima wa kusahihisha Ile mitihani kwanzia asubuhi mpaka usiku wamekuja kupewa 520000, hizi ni dharau Ina maana Kwa siku anafanya kazi ya 15000 ivi Hakuna mikataba kwenye hizi kazi? Maana kabla ya kusahihisha inabidi waambiwe watapewa kiasi flani Kwa siku

Mbaya zaidi ukute ambao hawasahihishi Ile mitihani ndowanapewa posho nene zaidi ya million tano, kama sio rushwa basi Kuna utapeli ndani yake. Mwalimu analipwa mshahara mwisho wa mwezi tu baada ya hapo Hakuna chochote kile anapata hapa katikati ya hizi siku

Just imagine ticha analipwa laki nne Kwa mwezi hapa Katikati matatizo yakatokea akatumia laki Tatu na nusu akabaki na 50000 bado siku 20 ndomshahara uingie bado huyu mtu Ana watoto na Familia na wazazi. Anaishije zaidi yakuingia kwenye madeni na fedheha zisizokuwa na msingi

Matokeo ya form two yametoka mabovu kuliko miaka yote iliyopita kwasababu motivation ya kufundisha haipo hata wanapoenda marking wanafanya Kaz Kwa stress tupu Sasa Matokeo ndio hayo wanafunzi wanafeli nawatafeli mpaka mtakapowatazama walimu Kwa jicho la upendeleo View attachment 2471613
Mashetani wao wakubwa ni wakurugenzi wa Wilaya, imagine walimu walioajiriwa 2021 mpaka Leo hawajalipwa subsistence allowance na hela ya nauli. Wakurugenzi wameshazila. Waziri yupo, waziri mkuu yupo, rais yupo hakuna wa kuwasaidia. Ndio maana wanatukanwa humu jukwaani kila siku. Serikali inachojua ni kujenga madarasa hayo madarasa yatafundisha?
 
Kaka Acha ushamba mtu umetoka kgoma to moro mwezi mzima unapewa 15 per day unaona kubwa? Unalala wap? Unakula nn? Unatumia usafir gan? Kama ingekua unapewa iyo na Upo kituon kwako sawa
Hajui hilo, huyu jamaa itakuwa ni wale vijana wanaokaa Kwa wazazi mpaka Leo akipewa pesa ya kununua nyama kilo ananunua robo tatu ili buku apate ya vocha
 
Leo naona wanakuangalia tu ..umegusa kwenye mshonooo..dada yangu ni mwalimu eti alipangiwa kutoka Arusha akasahihishe mitihani Mtwar ndani ndani huko kinachotokea mwalimu hahangaiki saaanaa Kama mwanafunzi mwandiko ni mbaya tarajia zero no time tu westi..kufanya usichopenda nimemwahidi ntafanya FOREX nimpe mtaji ..afu iv ni kwanini hata boda boda reference ya hela zao wanajilinganisha na maticha Kuna jambo hapo[emoji846]
 
mkuu samahani nimeingilia sio sehemu yangu, mimi sio mwalimu, sikujua kama nauli ipo humohumo. niwashauri tu walimu na watumishi wengine kwenye masuala yenu yote kuhusu ajira na maslahi yenu,mngeanzisha majamvi yenu, huku mkatuachia sisi akina yakhe tunaoongelea masuala sio maswala. maana mtatutukana mnomno

Achana na nauli wewe ulipwe 15000 unajiku vip ugenini mzee kula kulala usafir na mengimeyo
 
Hayo malipo ya 520 hayawezi kuhusisha nauli bila shaka!
Ninachofahamu safari za kiserikali zote mtumishi hupewa nauli kulingana na muongozo uliopo pamoja na fedha ya kujikimu njiani ikijumuisha kulala kama safari ni ya mbali!
Malipo yatokanayo na kazi anayokwenda kuifanya kwa afisa yeyote wa serikali yanakuwa tofauti na nauli.
Muulize huyo mwl kama hakupewa nauli, tena yawezekana nauli aliyopewa ni zaidi ya 520k.

Mtumishi wa serikali nje ya kituo cha kazi unatakiwa kulipwa night 80000 per day kwa mtu wa kawaida asie na grade kubwa na iyo extra duty ndo iyo 15000 mzee wangu
 
Walipwe na Nani Mavi Yao, Kuna siku ticha mmoja aliniambia walienda kusimamia mitihani ya necta darasa la nne siku mitihani inaishia wanapewa karatasi ya kusaini kiwango cha fedha kuangalia kiwango kilichowekwa kinasoma elfu sitini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anaambiwa Kwa kufokewa saini hapaaaaa

[emoji28]
 
Waalim huwa ni waoga sana tafuta tu cruiser hardtop kusanya na marafiki zako wanne mvae suti alaf kavamien shule yoyote kupiga mkwara mtawagombeza Hadi mchoke ila hakuna jasiri hata mmoja atakae uliza nyie ni kina Nani, muda wote ni waoga hata kudai maslahi huwa hawawezi
Hahaha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom