Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

Kama mpaka umefikia kutuita WAPUMBAVU kwa kweli tukushukuru tuu, hakuna namna, kwa sababu product tunaiona, haiwezekani sisi tuwe wapumbavu halafu wewe uwe mzima, never.

Nasikia walimu mnashinda mnabet ili muwe matajiri na mawazo mnapunguzia kwenye pombe kali?
 
Brother nilishawahi kumwambia huyu Bwana aidha, aliwahi kuwa Mwalimu, na yupo hunted na hallucinations, suala ni kwamba, hakuna taarifa Maalumu atapata kuhusu nini kinaendelea kule kwa sababu ni jambo nyeti na watu wanakula kiapo cha kulikda siri, na hata huyo alomwambia kamdanganya au labda ana malalamiko yake binafsi, ila hakuna taarifa open kuhusu ile kazi atapewa. [emoji2][emoji2]

Achana nae, kesho atakuja tena na mada ya Walimu, yani kama aliwakuta ugoni na mkewe.
Kwenye swala la kiapo niko pamoja na wewe ila ukweli ni kwamba kwahayo maslahi ni 99%, kuna mwamba mwaka fulani aligomea baada ya kuanza mchakato wa kusahisha akala ban na tangu kipindi hicho jamaa akiitwa kwenye hiyo kazi haendi, kingine mbali na maslahi wanachofanyiwa walimu ktk hivyo vituo ni vitendo vya kidhalilishaji niliwahi shuhudia kwenye kituo fulani cha usahihishaji mitihani mwalimu anarukishwa hadi kichurachura alipotoka kula kwakosa la kuchelewa kwenye panel yake. Kwakifupi hawa watu wana mazingira magumu
 
Wewe ni Mwalimu? Umesema "Wana mazingira magumu" na umeeleza hilo tukio hapo juu, kumradhi, wewe ulikuwa ukishuhudia kama nani? (Yaani hayo mazingira uliyokuwako), kwa sababu mimi ni Mwalimu, mazingira ya usahihishaji ya NECTA nayafahamu, ukiniambia ulikuwa kwenye hilo tukio let me just know as who. Moja,

Mbili, jamii ya karne 21 inahimiza elimu, kila mtu anasoma, so kila mtu anamjua Mwalimu, kosa ni kwamba, kila mtu anahisi yuko sahihi kwa asemacho kuhusu Walimu, kwa sababu tu huwafahamu. Hatukatai lazima mtujue kwa sababu, you have us in both academic and casual life pitches, ila suala la kudhani kila mjualo kuhusu Walimu ni sahihi. That's a mistake
 
Hapana si mwalimu ila hainifanyi kutoyajua hayo, kingine sio wote wanaokuwepo kwenye kituo cha usahishaji mitihani basi ni mwalimu, kingine hua nawaheshimu hawa watu ila naishiwa nguvu pale wanapobehave sehemu ambayo haikutakiwa kua hivyo.
 
Sasa kama mpaka anakubari kulukishwa kichura kwann nisimwite mpumbavu lamapumbav
 
Wewe ni Mwalimu? Umesema "Wana mazingira magumu" na umeeleza hilo tukio hapo juu, kumradhi, wewe ulikuwa ukishuhudia kama nani? (Yaani hayo mazingira uliyokuwako), kwa sababu mimi ni Mwalimu, mazingira ya usahihishaji ya NECTA nayafahamu, ukiniambia ulikuwa kwenye hilo tukio let me just know as who. Moja,

Mbili, jamii ya karne 21 inahimiza elimu, kila mtu anasoma, so kila mtu anamjua Mwalimu, kosa ni kwamba, kila mtu anahisi yuko sahihi kwa asemacho kuhusu Walimu, kwa sababu tu huwafahamu. Hatukatai lazima mtujue kwa sababu, you have us in both academic and casual life pitches, ila suala la kudhani kila mjualo kuhusu Walimu ni sahihi. That's a mistake
Mm sio mwalimu sijawa bwege kiasi hicho
 
Bora umesema
Kuna mkuu mmoja wa shule fulani (namhifadhi) aliwahi tamka "mimi kama boss wangu aliwahi kunitukana kisa nilichelewa kufungua mlango wa ofisi na nilikaa kimya kwakua ni boss wangu" kwakifupi walimu hua wanajishusha thamani wenyewe na hawapo tayari kujirekebisha just imagine mkuu wa mkoa anakuchapa viboko kisa hujaenda shule tena umeomba ruhusa na huku ukijua kuna standing order za utumishi wa umma.
 
Ahseee! I think ningekuwa mwalimu basi ningefia jela Kwa kesi ya mauaji
 
Hapana si mwalimu ila hainifanyi kutoyajua hayo, kingine sio wote wanaokuwepo kwenye kituo cha usahishaji mitihani basi ni mwalimu, kingine hua nawaheshimu hawa watu ila naishiwa nguvu pale wanapobehave sehemu ambayo haikutakiwa kua hivyo.
[emoji2] wrong answer! It's fine lakini, suala hapa ni kwamba, tunawafahamu sana Walimu kwa haiba mbaya, kwa sababu ya wachache walioshindwa kutumia taaluma zao kuwa waungwana.

Yeyote anayedai kutojua kitu kuhusu Walimu ni MUONGO, yeyote anayedhani anajua kila kitu kuhusu walimu ni MJINGA, na yeyote anadhani kila anachojua kuhusu Walimu ni sahihi ni MPUMBAVU.

Mimi nakubali kuwa "Wengi wape" wanao behave hivyo sio wengi, ukubali ama ukatae, ila as long as mmeona hayo tu, very fine kwa sababu huwezi kusema kwamba hujui kuhusu Walimu, utakuwa hujasema kweli.

Kuhusu hilo tukio siwezi kukukatalia, ila sina imani nalo as long as umelisema kwenye maada ya kusindikiza kashfa kwa walimu, its simply called Mob Psychology or Topic circumstances...... Kwenye uongo, uongo huzaliwa.

Shida sio yenu, shida ni sisi, watunga sera na Serikali, unayemuona ametoa post hapo ni product ya mfumo wetu wa elimu, ambaye aliwahi ku claim kuwa na Diploma, na huo ndio uwezo wake wa kujenga hoja (This is not offense) ila najaribu kupima tunapokosea kama taifa ni wapi, kwanini mtu ana spend muda mwingi shuleni, na anatoka na mentalities kama zenu. Inaniumiza, for sure naumia mno.

Nilishamwambia huyo Bwana, Walimu wapo underpaid, so mazingira wanayoishi na ya uchumi wa chini na kati, therefore exposure yao sio kubwa (ndio mana mnadhani washamba) kwa sababu, kuna material resources hawawezi ku access) nilishawahi kumwambia, pima uchumi wetu kwa GDP tu, utaona tuna almost $70bn, halafu tunahudumia more than 900k KmSq kwenye population ya watu 62+m, kundi tunalozungumzia hapa ni la watumishi zaidi ya 450k ambalo lime out wave uwezo wa serikali kumudu allowance.

Vile vile, hamuoni wafanyakazi wa taaluma nyingine kwa sababu wapo wachache, everything is teachers, teachers, teachers yaani hakuna jipya.

Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu hii kada imesahaulika au ni serikali inafanya kuwapuuzia? Just imagine jana nimekutana na mwalimu mmoja jina lake siwezi kulitaja ananiambia wiki mbili zilizopita wametoka kwenye usahihishaji wa mitihani yeye ni mwalimu wa sekondari anafundisha Mtwara ila akaenda kusahihisha mitihani Shinyanga ndio alikopangiwa akasahihishe mitihani ya taifa

Ajabu ni kuwa mwezi mzima wa kusahihisha ile mitihani kwanzia asubuhi mpaka usiku wamekuja kupewa 520000, hizi ni dharau Ina maana Kwa siku anafanya kazi ya 15000 ivi Hakuna mikataba kwenye hizi kazi? Maana kabla ya kusahihisha inabidi waambiwe watapewa kiasi fulani Kwa siku

Mbaya zaidi ukute ambao hawasahihishi Ile mitihani ndio wanapewa posho nene zaidi ya million tano, kama sio rushwa basi Kuna utapeli ndani yake. Mwalimu analipwa mshahara mwisho wa mwezi tu baada ya hapo Hakuna chochote kile anapata hapa katikati ya hizi siku

Just imagine ticha analipwa laki nne Kwa mwezi hapa Katikati matatizo yakatokea akatumia laki Tatu na nusu akabaki na 50000 bado siku 20 ndio mshahara uingie bado huyu mtu Ana watoto na Familia na wazazi. Anaishije zaidi yakuingia kwenye madeni na fedheha zisizokuwa na msingi

Matokeo ya form two yametoka mabovu kuliko miaka yote iliyopita kwasababu motivation ya kufundisha haipo hata wanapoenda marking wanafanya Kazi Kwa stress tupu Sasa Matokeo ndio hayo wanafunzi wanafeli nawatafeli mpaka mtakapowatazama walimu Kwa jicho la upendeleo View attachment 2471613
Hela za walimu zinaliwa na watu wengi ktk suala la mtihani ndiyo maana wanapata kidogo.

Kwenye mitihani utawakuta usalama, polisi, takukuru wote hawa wanapiga hela zilizopaswa kulipa walimu
 
Nimekuwako kwenye markings mara kadhaa, ila huu uongo nitau crash kwa hoja ambazo zitahitaji uwe na hekima kuzielewa.

Muwaulize WALIMU; Kabla ya miaka ya hivi karibuni Mwalimu alikuwa akienda Marking, kiwango cha kawaida cha posho ili range zaidi ya five figures (Ambayo labda ndio mnaiona hela nyingi), hapo ni nje ya returns, namanisha nauli, accomodations na transits. Lakini mnakumbuka matokeo yalikuwa yakitoka lini? Bila kupepesa macho matokeo yalikuwa ni mwezi March.

Miaka ya hivi karibuni, matokeo yameanza kutoka January, Why? Ulishajiuliza?

Ni kwa sababu, ufanisi umeongezeka.

Umeongezekaje?

Idadi wa Markers imeongezwa.

Ma minajili hiyo unadhani kama kundi la watu limeongezeka Allowance itabaki vile vile? Lazima ipungue ili kila mtu apate, ndio kiwango alichotaja huyo bwana ambacho hata nacho ni uongo. [emoji1]

Fine, kama hiyo pesa ni ndogo, kubwa ni Shilingi ngapi? Najua akili zenu wengi zimeenda kwenye mamilioni, sawa.
Turudi hapo, huyo bwana katajiwa kiwango cha posho, kinachopokelewa kwa mkupuo mmoja, hajasema pesa ambazo walimu wanapokea nusu nusu, they won't tell you clunk! Yaani utabaki kuwaza hivyo, sisemi hiyo hela ni nyingi, ila pia sitaki kuona uongo unazidi ku outrun ukweli ili dhana hiyo itumike kama ngao ya kutukana walimu.

Wewe weka hoja ya kwamba hela nyingi ni Shilingi ngapi, na walimu wanapaswa kudai vipi, huyu bwana ni haunted tu, labda aliwahi kuwa Mwalimu na ualimu ukamsulubu, hakutegemea ndio mana leo analia lia [emoji2][emoji2]

Pole sana bwana mkubwa, ule ni wito, ulidhani mteremko?

Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
 
[emoji2] wrong answer! It's fine lakini, suala hapa ni kwamba, tunawafahamu sana Walimu kwa haiba mbaya, kwa sababu ya wachache walioshindwa kutumia taaluma zao kuwa waungwana.

Yeyote anayedai kutojua kitu kuhusu Walimu ni MUONGO, yeyote anayedhani anajua kila kitu kuhusu walimu ni MJINGA, na yeyote anadhani kila anachojua kuhusu Walimu ni sahihi ni MPUMBAVU.

Mimi nakubali kuwa "Wengi wape" wanao behave hivyo sio wengi, ukubali ama ukatae, ila as long as mmeona hayo tu, very fine kwa sababu huwezi kusema kwamba hujui kuhusu Walimu, utakuwa hujasema kweli.

Kuhusu hilo tukio siwezi kukukatalia, ila sina imani nalo as long as umelisema kwenye maada ya kusindikiza kashfa kwa walimu, its simply called Mob Psychology or Topic circumstances...... Kwenye uongo, uongo huzaliwa.

Shida sio yenu, shida ni sisi, watunga sera na Serikali, unayemuona ametoa post hapo ni product ya mfumo wetu wa elimu, ambaye aliwahi ku claim kuwa na Diploma, na huo ndio uwezo wake wa kujenga hoja (This is not offense) ila najaribu kupima tunapokosea kama taifa ni wapi, kwanini mtu ana spend muda mwingi shuleni, na anatoka na mentalities kama zenu. Inaniumiza, for sure naumia mno.

Nilishamwambia huyo Bwana, Walimu wapo underpaid, so mazingira wanayoishi na ya uchumi wa chini na kati, therefore exposure yao sio kubwa (ndio mana mnadhani washamba) kwa sababu, kuna material resources hawawezi ku access) nilishawahi kumwambia, pima uchumi wetu kwa GDP tu, utaona tuna almost $70bn, halafu tunahudumia more than 900k KmSq kwenye population ya watu 62+m, kundi tunalozungumzia hapa ni la watumishi zaidi ya 450k ambalo lime out wave uwezo wa serikali kumudu allowance.

Vile vile, hamuoni wafanyakazi wa taaluma nyingine kwa sababu wapo wachache, everything is teachers, teachers, teachers yaani hakuna jipya.

Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
Umeongea point, niwachache watakuelewa
 
Mkuu chukua Fanta orange na maandazi matatu ya baresa Kwa mangi apo nakuja kulipa
 
Upo sahihi teacher kuna usemi mmoja unasema hivi "jamii isiyofundishwa na mwalimu basi itafundishwa na wapumbavu" naelewa jitihada zenu kwenye kupigania future ya Taifa kwani leo hii nimekua mhandisi kwa kupitia mikononi mwa walimu ila kinachonitafakarisha ni kwa namna gani tutaipandisha hadhi hii kada ili iheshimike katika jamii hasa ya kitanzania, sikatai kua ualimu ni wito na hata kama tukisema serikali ikae chini imlipe huyu mtumishi anayeitwa mwalimu sidhani kama kuna kiasi ambacho kitafanana na kile anachokizalisha, isispikua kufanya yale yatakayomkomboa huyu mwalimu ili atoke kwenye lile wimbi la kudharaulika katika jamii kupitia kile anachokiingiza baada ya elimu aitoayo.
Mwisho wote tunajenga Taifa moja na hakuna haja ya kutofautiana.
 
Back
Top Bottom