Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,133
Ndugu zangu hii kada imesahaulika au ni serikali inafanya kuwapuuzia? Just imagine jana nimekutana na mwalimu mmoja jina lake siwezi kulitaja ananiambia wiki mbili zilizopita wametoka kwenye usahihishaji wa mitihani yeye ni mwalimu wa sekondari anafundisha Mtwara ila akaenda kusahihisha mitihani Shinyanga ndio alikopangiwa akasahihishe mitihani ya taifa
Ajabu ni kuwa mwezi mzima wa kusahihisha ile mitihani kwanzia asubuhi mpaka usiku wamekuja kupewa 520000, hizi ni dharau Ina maana Kwa siku anafanya kazi ya 15000 ivi Hakuna mikataba kwenye hizi kazi? Maana kabla ya kusahihisha inabidi waambiwe watapewa kiasi fulani Kwa siku
Mbaya zaidi ukute ambao hawasahihishi Ile mitihani ndio wanapewa posho nene zaidi ya million tano, kama sio rushwa basi Kuna utapeli ndani yake. Mwalimu analipwa mshahara mwisho wa mwezi tu baada ya hapo Hakuna chochote kile anapata hapa katikati ya hizi siku
Just imagine ticha analipwa laki nne Kwa mwezi hapa Katikati matatizo yakatokea akatumia laki Tatu na nusu akabaki na 50000 bado siku 20 ndio mshahara uingie bado huyu mtu Ana watoto na Familia na wazazi. Anaishije zaidi yakuingia kwenye madeni na fedheha zisizokuwa na msingi
Matokeo ya form two yametoka mabovu kuliko miaka yote iliyopita kwasababu motivation ya kufundisha haipo hata wanapoenda marking wanafanya Kazi Kwa stress tupu Sasa Matokeo ndio hayo wanafunzi wanafeli nawatafeli mpaka mtakapowatazama walimu Kwa jicho la upendeleo