Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

Yan ina maana ata zile night Za serikali hawana/ hawalipwi yan kutoka kituo cha kaz kwenda kingine!? Kama night analpwa na iyo 15000 ni kama extra duty ipo sawa...
ulipwe na nani zaidi ya kupewa nauli na hiyo posho jumla ambayo haipo kwenye muongozo wa utumishi anapotoka nje ya kituo cha kazi,nakubaliana na wale wanaosema mwalimu ni manamba aliyepewa mkataba
 
Ila we jamaa ni mwalimu na umekosa sehemu ya kutolea malalamiko ndio maana kila siku unakuja na Uzi wa walimu, KUNA JAMBO LINAKUKEREKETA UNAKOSA PA KUSEMEA, hakuna mtu mwenye mda wa kufuatilia haki za wengine na Mambo ya watu wengine kama YUPO BUSY na Mambo yake. Una psychological problem inabidi utibiwe, nenda kituo chochote cha afya au kwa mwanasaikolojia kabla hujaathirika zaidi. Hakika nyuzi zako nyingi ni kuhusu kada hio. Hii ni dalili ya depression. ENYI WASOMA COMMENTS MCHUNGUZENI SANA HUYU HUENDA ANA STRESS AU DEPRESSION.
 
Kaka Acha ushamba mtu umetoka kgoma to moro mwezi mzima unapewa 15 per day unaona kubwa? Unalala wap? Unakula nn? Unatumia usafir gan? Kama ingekua unapewa iyo na Upo kituon kwako sawa
Hakuna nchi yenye mishahara mikubwa mkuu kote wanalia hivo hivo, kama unaona salary haitishi jiwekeze acha kulalamika🚮
 
Hayo malipo ya 520 hayawezi kuhusisha nauli bila shaka!
Ninachofahamu safari za kiserikali zote mtumishi hupewa nauli kulingana na muongozo uliopo pamoja na fedha ya kujikimu njiani ikijumuisha kulala kama safari ni ya mbali!
Malipo yatokanayo na kazi anayokwenda kuifanya kwa afisa yeyote wa serikali yanakuwa tofauti na nauli.
Muulize huyo mwl kama hakupewa nauli, tena yawezekana nauli aliyopewa ni zaidi ya 520k.
hata kama malipo hayo hayahusishi nauli ni sahihi kweli,je walimu wanapofanya kazi maalumu kama hiyo wanalipwa kadiri waraka wa muongozo wa posho za watumishi wa umma,tuje kwenye kusimamia mitihani je posho wanayopewa inafuata muongozo wa malipo ya posho za watumishi wa umma,UKWELI POSHO ZA WALIMU NI HISANI TU SIO MATAKWA YA SHERIA
 
Walimu wanashida sawa hatukatai lakini sasa shida ipo kwako unawashambulia na kuwadharau mno utadhani wewe unaishi peponi.

Shida ni zao waache na shida zao na wewe ubaki na utajiri wako(furaha) yako. Kila Siku thread za walimu, kwa kifupi tu unakera japo wewe unajiona winner.
shambulia hoja achana na mtoa hoja,ni sahihi kwa yanayofanyika?
 
Walimu mliomo hemu jaribuni kuwa wamoja kutetea hazi yenu acheni kuwa na nidhamu ya uwoga kama ivo
Hadhi haitetewi,bali kama ipo inajitokeza tu.hali ni mbaya.kubwa ni kwamba serikali itambue kuwa mshahara pasi posho kamwe hautoshi!
 
Ndugu zangu hii kada imesahaulika au ni serikali inafanya kuwapuuzia? Just imagine jana nimekutana na mwalimu mmoja jina lake siwezi kulitaja ananiambia wiki mbili zilizopita wametoka kwenye usahihishaji wa mitihani yeye ni mwalimu wa sekondari anafundisha mtwara ila akaenda kusahihisha mitihani shinyanga ndoalikopangiwa akasahihishe mitihani ya taifa

Ajabu ni kuwa mwezi mzima wa kusahihisha Ile mitihani kwanzia asubuhi mpaka usiku wamekuja kupewa 520000, hizi ni dharau Ina maana Kwa siku anafanya kazi ya 15000 ivi Hakuna mikataba kwenye hizi kazi? Maana kabla ya kusahihisha inabidi waambiwe watapewa kiasi flani Kwa siku

Mbaya zaidi ukute ambao hawasahihishi Ile mitihani ndowanapewa posho nene zaidi ya million tano, kama sio rushwa basi Kuna utapeli ndani yake. Mwalimu analipwa mshahara mwisho wa mwezi tu baada ya hapo Hakuna chochote kile anapata hapa katikati ya hizi siku

Just imagine ticha analipwa laki nne Kwa mwezi hapa Katikati matatizo yakatokea akatumia laki Tatu na nusu akabaki na 50000 bado siku 20 ndomshahara uingie bado huyu mtu Ana watoto na Familia na wazazi. Anaishije zaidi yakuingia kwenye madeni na fedheha zisizokuwa na msingi

Matokeo ya form two yametoka mabovu kuliko miaka yote iliyopita kwasababu motivation ya kufundisha haipo hata wanapoenda marking wanafanya Kaz Kwa stress tupu Sasa Matokeo ndio hayo wanafunzi wanafeli nawatafeli mpaka mtakapowatazama walimu Kwa jicho la upendeleo View attachment 2471613
Uongo mtupu
1.Mtihani haijasahihishwa mwezi mzima ni wiki mbili tu wametumia

2. kiwango hicho ulichotaja ni uongo
 
Per diem ya serikali ni around 120K kwa siku. Baraza la mitihani lizingatie viwango vya per diem kwa watumishi wa umma ili kuwe na usawa...
Wanasikia basi, mpaka siku walimu washtuke walete vurugu ndowataelewa
 
Hadhi haitetewi,bali kama ipo inajitokeza tu.hali ni mbaya.kubwa ni kwamba serikali itambue kuwa mshahara pasi posho kamwe hautoshi!
Umeongea kweli kila mtumishi wa umma isipokuwa walimu ana posho ktktk ya mwez
 
Walimu wanashida sawa hatukatai lakini sasa shida ipo kwako unawashambulia na kuwadharau mno utadhani wewe unaishi peponi.

Shida ni zao waache na shida zao na wewe ubaki na utajiri wako(furaha) yako. Kila Siku thread za walimu, kwa kifupi tu unakera japo wewe unajiona winner.
Sasa kama wewe umwenyewe unasema walimu wana shida mbona unasema nawadharau
 
hata kama malipo hayo hayahusishi nauli ni sahihi kweli,je walimu wanapofanya kazi maalumu kama hiyo wanalipwa kadiri waraka wa muongozo wa posho za watumishi wa umma,tuje kwenye kusimamia mitihani je posho wanayopewa inafuata muongozo wa malipo ya posho za watumishi wa umma,UKWELI POSHO ZA WALIMU NI HISANI TU SIO MATAKWA YA SHERIA
Posho za usahishaji hazifati muongozo upewa chochote walamba asali watakachobakisha
 
Ndugu zangu hii kada imesahaulika au ni serikali inafanya kuwapuuzia? Just imagine jana nimekutana na mwalimu mmoja jina lake siwezi kulitaja ananiambia wiki mbili zilizopita wametoka kwenye usahihishaji wa mitihani yeye ni mwalimu wa sekondari anafundisha mtwara ila akaenda kusahihisha mitihani shinyanga ndoalikopangiwa akasahihishe mitihani ya taifa

Ajabu ni kuwa mwezi mzima wa kusahihisha Ile mitihani kwanzia asubuhi mpaka usiku wamekuja kupewa 520000, hizi ni dharau Ina maana Kwa siku anafanya kazi ya 15000 ivi Hakuna mikataba kwenye hizi kazi? Maana kabla ya kusahihisha inabidi waambiwe watapewa kiasi flani Kwa siku

Mbaya zaidi ukute ambao hawasahihishi Ile mitihani ndowanapewa posho nene zaidi ya million tano, kama sio rushwa basi Kuna utapeli ndani yake. Mwalimu analipwa mshahara mwisho wa mwezi tu baada ya hapo Hakuna chochote kile anapata hapa katikati ya hizi siku

Just imagine ticha analipwa laki nne Kwa mwezi hapa Katikati matatizo yakatokea akatumia laki Tatu na nusu akabaki na 50000 bado siku 20 ndomshahara uingie bado huyu mtu Ana watoto na Familia na wazazi. Anaishije zaidi yakuingia kwenye madeni na fedheha zisizokuwa na msingi

Matokeo ya form two yametoka mabovu kuliko miaka yote iliyopita kwasababu motivation ya kufundisha haipo hata wanapoenda marking wanafanya Kaz Kwa stress tupu Sasa Matokeo ndio hayo wanafunzi wanafeli nawatafeli mpaka mtakapowatazama walimu Kwa jicho la upendeleo View attachment 2471613
520000 ni kubwa sana kwani hapo tayari umepewa na huduma nyingine acheni kulia walimu.Kama mnaona hailipi acheni kazi mje mtaani au jiongezeni kwa kubuni shughuli nyingine ziwaongezee kipato.Ninyi walimu na watumishi wengine wa umma mnataka makusanyo yote ya nchi mjilipe mishahara na posho? Haifai
 
Ila we jamaa ni mwalimu na umekosa sehemu ya kutolea malalamiko ndio maana kila siku unakuja na Uzi wa walimu, KUNA JAMBO LINAKUKEREKETA UNAKOSA PA KUSEMEA, hakuna mtu mwenye mda wa kufuatilia haki za wengine na Mambo ya watu wengine kama YUPO BUSY na Mambo yake. Una psychological problem inabidi utibiwe, nenda kituo chochote cha afya au kwa mwanasaikolojia kabla hujaathirika zaidi. Hakika nyuzi zako nyingi ni kuhusu kada hio. Hii ni dalili ya depression. ENYI WASOMA COMMENTS MCHUNGUZENI SANA HUYU HUENDA ANA STRESS AU DEPRESSION.
Mimi sio mwalimu siwezi kuwa kwenye kada ya waoga
 
Back
Top Bottom