Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

mtawalaumu sanaa walimu lakini mnasahau kuwa ualimu ndo bidhaa iliyofurika sokoni kuliko kada zingine zote nchini unaweza Fukuza mwalimu moja ukatumia mshahara wake uleule moja kuajiri walimu wawili na wakakubali bila shidah .wachumi watakuwa wamenielewa hapo.
 
Mbona wanajeshi wengi pia, mpaka mitaani wametapakaa jkt waliokosa ajira ila wanajeshi wanapewa kipaombele maposho kila siku
 
Ndugu zangu hii kada imesahaulika au ni serikali inafanya kuwapuuzia? Just imagine jana nimekutana na mwalimu mmoja jina lake siwezi kulitaja ananiambia wiki mbili zilizopita wametoka kwenye usahihishaji wa mitihani yeye ni mwalimu wa sekondari anafundisha Mtwara ila akaenda kusahihisha mitihani Shinyanga ndio alikopangiwa akasahihishe mitihani ya taifa

Ajabu ni kuwa mwezi mzima wa kusahihisha ile mitihani kwanzia asubuhi mpaka usiku wamekuja kupewa 520000, hizi ni dharau Ina maana Kwa siku anafanya kazi ya 15000 ivi Hakuna mikataba kwenye hizi kazi? Maana kabla ya kusahihisha inabidi waambiwe watapewa kiasi fulani Kwa siku

Mbaya zaidi ukute ambao hawasahihishi Ile mitihani ndio wanapewa posho nene zaidi ya million tano, kama sio rushwa basi Kuna utapeli ndani yake. Mwalimu analipwa mshahara mwisho wa mwezi tu baada ya hapo Hakuna chochote kile anapata hapa katikati ya hizi siku

Just imagine ticha analipwa laki nne Kwa mwezi hapa Katikati matatizo yakatokea akatumia laki Tatu na nusu akabaki na 50000 bado siku 20 ndio mshahara uingie bado huyu mtu Ana watoto na Familia na wazazi. Anaishije zaidi yakuingia kwenye madeni na fedheha zisizokuwa na msingi

Matokeo ya form two yametoka mabovu kuliko miaka yote iliyopita kwasababu motivation ya kufundisha haipo hata wanapoenda marking wanafanya Kazi Kwa stress tupu Sasa Matokeo ndio hayo wanafunzi wanafeli nawatafeli mpaka mtakapowatazama walimu Kwa jicho la upendeleo View attachment 2471613
Inawezekana hukupata vizuri maelezo yake! Sidhani kama huwa wanalipwa hivyo kwa kazi ya mwezi mzima. Period.
 
Mbona wanajeshi wengi pia, mpaka mitaani wametapakaa jkt waliokosa ajira ila wanajeshi wanapewa kipaombele maposho kila siku
nani kakwambia wanajeshi ni wengi mkuu? niambie jwtz,jkt,polisi miaka kumi iliyopita waliajiri askali wasiozidi elfu 2, fuatilia ualimu kila mwaka zaidi ya elfu name wanaajiliwa
 
Idadi ya vyombo vya ulinzi nchi ni zaidi ya laki nne lakini walimu hawazidi laki mbili, utafananishaje Kwa hilo, by the way walimu nao ni watumishi msiwatese kisa valueless kwamba wakikataa utaajiri wengine
 
cha kuzingatia ni je wamelipwa kwa mujibu wa muongozo wa utumishi wa umma anapokuwa nje ya kitu cha kazi tena kwa zaidi za siku 20
Kwawewe inaingia akilini muongozo useme utapata 20000 Kwa siku? Bila nauli bila pesa ya njiani
 
Ndugu zangu hii kada imesahaulika au ni serikali inafanya kuwapuuzia? Just imagine jana nimekutana na mwalimu mmoja jina lake siwezi kulitaja ananiambia wiki mbili zilizopita wametoka kwenye usahihishaji wa mitihani yeye ni mwalimu wa sekondari anafundisha Mtwara ila akaenda kusahihisha mitihani Shinyanga ndio alikopangiwa akasahihishe mitihani ya taifa

Ajabu ni kuwa mwezi mzima wa kusahihisha ile mitihani kwanzia asubuhi mpaka usiku wamekuja kupewa 520000, hizi ni dharau Ina maana Kwa siku anafanya kazi ya 15000 ivi Hakuna mikataba kwenye hizi kazi? Maana kabla ya kusahihisha inabidi waambiwe watapewa kiasi fulani Kwa siku

Mbaya zaidi ukute ambao hawasahihishi Ile mitihani ndio wanapewa posho nene zaidi ya million tano, kama sio rushwa basi Kuna utapeli ndani yake. Mwalimu analipwa mshahara mwisho wa mwezi tu baada ya hapo Hakuna chochote kile anapata hapa katikati ya hizi siku

Just imagine ticha analipwa laki nne Kwa mwezi hapa Katikati matatizo yakatokea akatumia laki Tatu na nusu akabaki na 50000 bado siku 20 ndio mshahara uingie bado huyu mtu Ana watoto na Familia na wazazi. Anaishije zaidi yakuingia kwenye madeni na fedheha zisizokuwa na msingi

Matokeo ya form two yametoka mabovu kuliko miaka yote iliyopita kwasababu motivation ya kufundisha haipo hata wanapoenda marking wanafanya Kazi Kwa stress tupu Sasa Matokeo ndio hayo wanafunzi wanafeli nawatafeli mpaka mtakapowatazama walimu Kwa jicho la upendeleo View attachment 2471613
Ni utumwa, kada ya ualimu imekuwa kada ya wamachinga, kila mwalimu uyu anakuja na Juice kuuza ofisini, uyu anakuja na Maandazi kuuza mda wa Break, uyu anakuja na Uji wa kuuza ofisini,

Kazi amabzo walitakiwa wazifanye watu ambao hawajasoma na hawana ajira Zinagomaniwa na waliojiriwa sasa kuna faida gan ya kuajiriwa[emoji706][emoji706][emoji706]

Je? Uyu mwalimu atakuwa na concentration gan ya Kufundisha kama anawaza Maandazi yake aloleta hayajaisha[emoji706][emoji706]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom