Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

Lecturers sio walimu ni wahadhiri nawale wa vyuo vya Kati ni wakufunzi. Acha janjajanja
[emoji23][emoji23] kadi ya mheshimiwa dr bashiru kakulwa occupation yake ni Mwalimu ....asee mpwayungu .....teacher is teacher no matter what.....labda useme target yako ni walimu wa msingi au secondary
 
Mpwayungu una ugomvi na walimu wa vyuo secondary au msingi??
Screenshot_20230108-131517_1.jpg
 
Wakafanya hvyo,..na alipaswa kupanda daraja wakati huo huo Kama taratibu zinavyosema,..matokeo yake wakamwambia kuwa hatopandishwa daraja mpaka atumikie Tena miaka minne..jamaa akataka kujinyonga kwa kukosa Haki yake ,..
 
Duuh
 
Ivi una akili wewe, hiyo laki tano mtu utoke mtwara kwenda shinyanga? Go and return nauli sio chini ya laki na nusu Kwa Sasa bado njiani inabidi ule na ulale gest kabla ya kituo na baada ya kazi kurudi nyumbani, hapo unafika home una laki mbili tu
Wacha mkomeshwe mnaohonga kupata nafasi kwenda kusahihisha mitihani utakuwa ulihonga laki tano upate nafasi kwa hiyo unaona imekula kwako umebaki na elfu ishirini tu mfukoni isiyotosha hata nauli kurudi kwenu hadi nauli imeliwa umejipeleka kwa pesa yako na kurudi kwa pesa yako ya mfukoni sasa hivi ndio wagundua kuwa ulifanya biashara kichaa.Frustration zako ndizo unamwaga humu

Siku ingine ukome kuhonga usihonge.Ukichaguliwa sawa udipochaguliwa sawa.Ona sasa Rushwa imekutokea puani wewe mwenyewe bila wala Takukuru kuhusika na wewe

Wenzio ambao hawakuhonga chochote zimewatosha wanakula bata na kuku kwa mrija

Ambao hawakuhonga wala shida hawana
 
Pamoja na kuwafundishia watoto wenu,lakini comments nyingi hapa ni za dharau kwa walimu. Tatizo kubwa hapa ni kukiukwa kwa mikataba ya kazi,hili si kosa la walimu. Nchi hii ina wanasheria na humu ndani wapo. Japo kwa ufupi wanawezaje kulisaidia hili maana wao pia ni zao la hao walimu mnaowatusi hapa.
 
Halafu mbaya zaidi walimu sijui akili za uoga walienda kuzinunua Wapi jamani ivi kweli mnashindwa kusema hatusahihishi mitihani mpaka tujue tunapewa bei gn
Kuna mmoja niliwahi kumuuliza jibu alilonijibu direct liliniambia kua kwao uoga wanafundishwa vyuoni na ndio uzalendo, kuna slogan yao ambayo wengi wanaamini kua kwenye kazi ya ualimu hakuna solidarity hivyo kama ni haki basi itafute kwa maslahi yako na sio wao.
 
Wacha mkomeshwe mnaohonga kupata nafasi kwenda kusahihisha mitihani utakuwa ulihonga laki tano upate nafasi kwa hiyo unaona imekula kwako umebaki na elfu ishirini tu mfukoni isiyotosha hata nauli kurudi kwenu hadi nauli imeliwa umejipeleka kwa pesa yako na kurudi kwa pesa yako ya mfukoni sasa hivi ndio wagundua kuwa ulifanya biashara kichaa.Frustration zako ndizo unamwaga humu

Siku ingine ukome kuhonga usihonge.Ukichaguliwa sawa udipochaguliwa sawa.Ona sasa Rushwa imekutokea puani wewe mwenyewe bila wala Takukuru kuhusika na wewe

Wenzio ambao hawakuhonga chochote zimewatosha wanakula bata na kuku kwa mrija

Ambao hawakuhonga wala shida hawana
Mbona unanifokea kama namm ni mwalimu vile, waambie walimu hili mm halinihusu
 
Kuna mmoja niliwahi kumuuliza jibu alilonijibu direct liliniambia kua kwao uoga wanafundishwa vyuoni na ndio uzalendo, kuna slogan yao ambayo wengi wanaamini kua kwenye kazi ya ualimu hakuna solidarity hivyo kama ni haki basi itafute kwa maslahi yako na sio wao.
Duuh poor these people
 
Pamoja na kuwafundishia watoto wenu,lakini comments nyingi hapa ni za dharau kwa walimu. Tatizo kubwa hapa ni kukiukwa kwa mikataba ya kazi,hili si kosa la walimu. Nchi hii ina wanasheria na humu ndani wapo. Japo kwa ufupi wanawezaje kulisaidia hili maana wao pia ni zao la hao walimu mnaowatusi hapa.
Walimu Hawana akili acha watukanwe
 
You are so obsessed with teachers to the extent of being derogatory and telling lies. Acha ujinga, bila shaka wewe ni mtu mzima. Natamani nikuelezee what's happening there, ila siwezi, acha nikuangalie ukipumbaza wasiofahamu. Nincampoop
 
Brother nilishawahi kumwambia huyu Bwana aidha, aliwahi kuwa Mwalimu, na yupo hunted na hallucinations, suala ni kwamba, hakuna taarifa Maalumu atapata kuhusu nini kinaendelea kule kwa sababu ni jambo nyeti na watu wanakula kiapo cha kulikda siri, na hata huyo alomwambia kamdanganya au labda ana malalamiko yake binafsi, ila hakuna taarifa open kuhusu ile kazi atapewa. [emoji2][emoji2]

Achana nae, kesho atakuja tena na mada ya Walimu, yani kama aliwakuta ugoni na mkewe.
 
Ni wapumbavu
Modarators wa jamii forum, huyu mtu ni nani humu mpaka anatukana walimu?

Yeye alifundishwa na nani?

Huwezi kuwatukana wazazi wako hata kama ni masikini au umewazidi akili.

Hiki anachokifanya huyu member hakiko sawa.

Kama nia yake ni kuwatetea walimu, basi awatetee kwa lugha nzuri na siyo matusi.
 
Back
Top Bottom