Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

Ndugu zangu hii kada imesahaulika au ni serikali inafanya kuwapuuzia? Just imagine jana nimekutana na mwalimu mmoja jina lake siwezi kulitaja ananiambia wiki mbili zilizopita wametoka kwenye usahihishaji wa mitihani yeye ni mwalimu wa sekondari anafundisha Mtwara ila akaenda kusahihisha mitihani Shinyanga ndio alikopangiwa akasahihishe mitihani ya taifa

Ajabu ni kuwa mwezi mzima wa kusahihisha ile mitihani kwanzia asubuhi mpaka usiku wamekuja kupewa 520000, hizi ni dharau Ina maana Kwa siku anafanya kazi ya 15000 ivi Hakuna mikataba kwenye hizi kazi? Maana kabla ya kusahihisha inabidi waambiwe watapewa kiasi fulani Kwa siku

Mbaya zaidi ukute ambao hawasahihishi Ile mitihani ndio wanapewa posho nene zaidi ya million tano, kama sio rushwa basi Kuna utapeli ndani yake. Mwalimu analipwa mshahara mwisho wa mwezi tu baada ya hapo Hakuna chochote kile anapata hapa katikati ya hizi siku

Just imagine ticha analipwa laki nne Kwa mwezi hapa Katikati matatizo yakatokea akatumia laki Tatu na nusu akabaki na 50000 bado siku 20 ndio mshahara uingie bado huyu mtu Ana watoto na Familia na wazazi. Anaishije zaidi yakuingia kwenye madeni na fedheha zisizokuwa na msingi

Matokeo ya form two yametoka mabovu kuliko miaka yote iliyopita kwasababu motivation ya kufundisha haipo hata wanapoenda marking wanafanya Kazi Kwa stress tupu Sasa Matokeo ndio hayo wanafunzi wanafeli nawatafeli mpaka mtakapowatazama walimu Kwa jicho la upendeleo View attachment 2471613
Wazo langu nililokupa la kushauri walimu na taasisi zinazosimamia.. umeanza kufanyia kazi... asante by Mr IQ
 
Ingawa mleta uzi sio mtu wa kumwamini ila kwenye huu uzi ninamuunga mkono. Waalimu kiukweli wanalipwa kidogo mno. Waalimu waliopiga hatua kiuchumi ni wachache mno. Lakini waalimu karibu dunia nzima wanalipwa kidogo. Hapa kwetu ni kama imezidi... yaani ni zaidi ya kidogo. Ni punje.
 
Kazi ya mitihani ya taifa ni kazi maalumu kama zilivyo kazi nyingine za kiutumishi ambazo malipo yake yanalipwa kwa mujibu wa posho nje ya kituo ambayo ina muongozo wa ulipaji, sasa shangaa mwalimu malipo yake hayafuati muongo wowote wa posho za nje ya kituo zaidi ni baraza kujipangia wanavyotaka hakuna cha waraka wa posho unaofuatwa, walimu ni manamba walioajiriwa, hata kwenye haki yake ataambiwa awe mzalendo
Noted mkuu,..Bora umeliona hilo
 
Ingawa mleta uzi sio mtu wa kumwamini ila kwenye huu uzi ninamuunga mkono. Waalimu kiukweli wanalipwa kidogo mno. Waalimu waliopiga hatua kiuchumi ni wachache mno. Lakini waalimu karibu dunia nzima wanalipwa kidogo. Hapa kwetu ni kama imezidi... yaani ni zaidi ya kidogo. Ni punje.
Uliza walimu wa Kenya na Uganda, pesa wanayopokea Kwa mwezi ni mishahara ya walimu wa tatu Kwa bongo
 
Sawa,jamani my beautiful lovely sister Depal nifanyie connection basi ya huko Ngo uliyopo,ama huko serikali kuu ulipo basi. Halafu unajua mie jirani yako kabisa nyumba zetu zipo jirani!

Maana tunatukanwa sn walimu daah.Wapunguze basi,cause tumewafikisha hapo walipo kwenye kazi nzuri walizonazo.
Walimu mabwege tu
 
Kiukwel viongozi katika sekta ya elimu ndo wanaochangia zaidi katika kudidimiza walimu..

Kuna ndug yangu Ni mwalimu,.alianza na diploma baadae akaenda kujiendeleza ,akapata degree yake ya sayansi baadae akarudi kuendelea na majukumu yake ,..akatumikia miaka minne na baadae akaomba kubadilishiwa muundo wa kiutumishi kutoka diploma kwenda degree,..

Wakafanya hvyo,..na alipaswa kupanda daraja wakati huo huo Kama taratibu zinavyosema,..matokeo yake wakamwambia kuwa hatopandishwa daraja mpaka atumikie Tena miaka minne..jamaa akataka kujinyonga kwa kukosa Haki yake ,..viongozi wa TSC wanachangia Sana kushusha morale za walimu kwa kweli serikali isipowaangalia Hawa..Basi walimu wengi wataacha kazi,..na watakaondelea kufanya kazi hii hawatoendelea kuifanya kwa moyo...
 
Ndugu zangu hii kada imesahaulika au ni serikali inafanya kuwapuuzia? Just imagine jana nimekutana na mwalimu mmoja jina lake siwezi kulitaja ananiambia wiki mbili zilizopita wametoka kwenye usahihishaji wa mitihani yeye ni mwalimu wa sekondari anafundisha Mtwara ila akaenda kusahihisha mitihani Shinyanga ndio alikopangiwa akasahihishe mitihani ya taifa

Ajabu ni kuwa mwezi mzima wa kusahihisha ile mitihani kwanzia asubuhi mpaka usiku wamekuja kupewa 520000, hizi ni dharau Ina maana Kwa siku anafanya kazi ya 15000 ivi Hakuna mikataba kwenye hizi kazi? Maana kabla ya kusahihisha inabidi waambiwe watapewa kiasi fulani Kwa siku

Mbaya zaidi ukute ambao hawasahihishi Ile mitihani ndio wanapewa posho nene zaidi ya million tano, kama sio rushwa basi Kuna utapeli ndani yake. Mwalimu analipwa mshahara mwisho wa mwezi tu baada ya hapo Hakuna chochote kile anapata hapa katikati ya hizi siku

Just imagine ticha analipwa laki nne Kwa mwezi hapa Katikati matatizo yakatokea akatumia laki Tatu na nusu akabaki na 50000 bado siku 20 ndio mshahara uingie bado huyu mtu Ana watoto na Familia na wazazi. Anaishije zaidi yakuingia kwenye madeni na fedheha zisizokuwa na msingi

Matokeo ya form two yametoka mabovu kuliko miaka yote iliyopita kwasababu motivation ya kufundisha haipo hata wanapoenda marking wanafanya Kazi Kwa stress tupu Sasa Matokeo ndio hayo wanafunzi wanafeli nawatafeli mpaka mtakapowatazama walimu Kwa jicho la upendeleo View attachment 2471613
Hujui kwamba hayo malipo ni nyongeza kwenye mshahara wake?
 
Waalim huwa ni waoga sana tafuta tu cruiser hardtop kusanya na marafiki zako wanne mvae suti alaf kavamien shule yoyote kupiga mkwara mtawagombeza Hadi mchoke ila hakuna jasiri hata mmoja atakae uliza nyie ni kina Nani, muda wote ni waoga hata kudai maslahi huwa hawawezi

Sijui sababu ya ufaulu wao kuwa ni hivyo hivyo?! [emoji848]

Halafu wanaona kazi walonayo ni kama hisani ya serikali sababu ya kuungaunga Au ? [emoji2369]

Wengine wamejaa nidhamu ya uoga!
 
Kazi ya mitihani ya taifa ni kazi maalumu kama zilivyo kazi nyingine za kiutumishi ambazo malipo yake yanalipwa kwa mujibu wa posho nje ya kituo ambayo ina muongozo wa ulipaji, sasa shangaa mwalimu malipo yake hayafuati muongo wowote wa posho za nje ya kituo zaidi ni baraza kujipangia wanavyotaka hakuna cha waraka wa posho unaofuatwa, walimu ni manamba walioajiriwa, hata kwenye haki yake ataambiwa awe mzalendo
Naogopa sana maana mwalimu ni kama kiongozi wa dini akiamua kutengeneza magaidi ni kazi ndogo sana kwake selikali iliangalie hili kwa mapana hawa ni watu muhimu sana
 
Siku kikilipuka [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom