Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

Walimu walikuwa wanalipwa vizuri kwenye Izo kazi na ilifika hatua mpaka wanarogana kwenda, ila Simba wa Yuda ndio akaharibu mifumo yote..
Ashukuriwe Mungu..

Vipi vishikwambi mmepewa??
Kumbe mchawi ni yule marehemu [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Waalim huwa ni waoga sana tafuta tu cruiser hardtop kusanya na marafiki zako wanne mvae suti alaf kavamien shule yoyote kupiga mkwara mtawagombeza Hadi mchoke ila hakuna jasiri hata mmoja atakae uliza nyie ni kina Nani, muda wote ni waoga hata kudai maslahi huwa hawawezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kazi ya mitihani ya taifa ni kazi maalumu kama zilivyo kazi nyingine za kiutumishi ambazo malipo yake yanalipwa kwa mujibu wa posho nje ya kituo ambayo ina muongozo wa ulipaji, sasa shangaa mwalimu malipo yake hayafuati muongo wowote wa posho za nje ya kituo zaidi ni baraza kujipangia wanavyotaka hakuna cha waraka wa posho unaofuatwa, walimu ni manamba walioajiriwa, hata kwenye haki yake ataambiwa awe mzalendo
Huyo atakuwa amekudanganya hakuna malipo ya namna hiyo. Ameshindwa kukuweka wazi yawezekana unamdai au posho aliyoipata kaitumia vibaya.
 
Ivi una akili wewe, hiyo laki tano mtu utoke mtwara kwenda shinyanga? Go and return nauli sio chini ya laki na nusu Kwa Sasa bado njiani inabidi ule na ulale gest kabla ya kituo na baada ya kazi kurudi nyumbani, hapo unafika home una laki mbili tu
Hao walimu wanalipwa nauli na gharama za kulala njiani kulingana na umbali/ mkoa alikotoka. Mshahara wake hauathiriwi na chochote, huyo kakudanganya kabisa.
 
Ndugu zangu hii kada imesahaulika au ni serikali inafanya kuwapuuzia? Just imagine jana nimekutana na mwalimu mmoja jina lake siwezi kulitaja ananiambia wiki mbili zilizopita wametoka kwenye usahihishaji wa mitihani yeye ni mwalimu wa sekondari anafundisha Mtwara ila akaenda kusahihisha mitihani Shinyanga ndio alikopangiwa akasahihishe mitihani ya taifa

Ajabu ni kuwa mwezi mzima wa kusahihisha ile mitihani kwanzia asubuhi mpaka usiku wamekuja kupewa 520000, hizi ni dharau Ina maana Kwa siku anafanya kazi ya 15000 ivi Hakuna mikataba kwenye hizi kazi? Maana kabla ya kusahihisha inabidi waambiwe watapewa kiasi fulani Kwa siku

Mbaya zaidi ukute ambao hawasahihishi Ile mitihani ndio wanapewa posho nene zaidi ya million tano, kama sio rushwa basi Kuna utapeli ndani yake. Mwalimu analipwa mshahara mwisho wa mwezi tu baada ya hapo Hakuna chochote kile anapata hapa katikati ya hizi siku

Just imagine ticha analipwa laki nne Kwa mwezi hapa Katikati matatizo yakatokea akatumia laki Tatu na nusu akabaki na 50000 bado siku 20 ndio mshahara uingie bado huyu mtu Ana watoto na Familia na wazazi. Anaishije zaidi yakuingia kwenye madeni na fedheha zisizokuwa na msingi

Matokeo ya form two yametoka mabovu kuliko miaka yote iliyopita kwasababu motivation ya kufundisha haipo hata wanapoenda marking wanafanya Kazi Kwa stress tupu Sasa Matokeo ndio hayo wanafunzi wanafeli nawatafeli mpaka mtakapowatazama walimu Kwa jicho la upendeleo View attachment 2471613
Usahihishaji wa mitihani ya taifa haufanyiki mwezi mzima.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mpwayungu village acha kutia chumvi serikali imejitahidi sana sana sana angalia tu mfano japo si kwà wote ila wengi wao madeni ya bodi ya mikopo mama ameqalipia kwa nusu nzima mfano kama mtu alikuwa anadaiwa 10M mama alipunguza mpaka 5M huo pekee ni msaada mkubwa sana tuje Kwenye madaraja walimu zaidi ya 1.5 laki wamepandishwa madaraja mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
mpwayungu village acha kutia chumvi serikali imejitahidi sana sana sana angalia tu mfano japo si kwà wote ila wengi wao madeni ya bodi ya mikopo mama ameqalipia kwa nusu nzima mfano kama mtu alikuwa anadaiwa 10M mama alipunguza mpaka 5M huo pekee ni msaada mkubwa sana tuje Kwenye madaraja walimu zaidi ya 1.5 laki wamepandishwa madaraja mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Kupandishwa daraja ni haki ya mtumishi sio hisani ya kiongozi, pili kusema alifuta nusu la loan board ni uongo kilichofutwa ni retention fees hata hivyo wamerudisha tena wameanza kukwatwa, tatu walimu wote hawajielewi
 
Kazi tunayo sie walimu. Mungu nisaidie nipate kazi ingine japo maisha yangu si mabaya naishi vizuri na standard life kabisa.

Ila lakini mkae mkijua sisi ni msaada mkubwa sana kwa watoto wenu kwaajili ya future zao.Binafsi nimechangia mafanikio ya watoto ambao sasa wapo Muhimbili,UDSM,UDOM n.k na wananishukuru hata wakati mwingine hulia machozi ya furaha wakikumbuka vile nimewafundisha na kuwapa miongozo muhiimu katika masomo na hata kimaisha.

Endeleeni kututukana,na hii ni kutokana na serikali kutoweka kipaombele ktk maslahi ya walimu bali wanajali bunduki.Na wasijue sisi walimu ndiyo tunaweza kuwa bunduki mbaya kabisa tukisimama mbele ya ubao na chaki zetu,yani tukawaaminisha kitu vijana na kuwajaza mambo ambayo baadae miaka kadhaa ikaleta impact mbaya kwa utawala.

Poleni walimu wenzangu popote pale mlipo.
Ni mimi mwalimu ninayesaka kazi nyingine mbali na ualimu huu unaobezwa,dhalaulika na kusimangwa na kila mtu.

Jumatatu naanza na test kwa watoto wangu wa form 3 ili kuwashtua ubongo baada ya mapumziko yao.

Mungu tubariki walimu.

Mama Samia shkamoo mama,naomba hata kijikazi hata cha u-DAS mama,Mungu atakubariki pia.
Mpwayungu ni jobless
Asiwatishe
 
Mpwayungu ni jobless
Asiwatishe
Sawa,jamani my beautiful lovely sister Depal nifanyie connection basi ya huko Ngo uliyopo,ama huko serikali kuu ulipo basi. Halafu unajua mie jirani yako kabisa nyumba zetu zipo jirani!

Maana tunatukanwa sn walimu daah.Wapunguze basi,cause tumewafikisha hapo walipo kwenye kazi nzuri walizonazo.
 
Back
Top Bottom