hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,635
- 4,311
AiseeIla mjue kuwa waalimu wanalipa hadi 700k Sasa mnataka walipwe kama madaktari kushika tu chaki??
Mnataka mpewe ml 1 kwani ni international schools au nyie ni madaktari ?? ndio maana mmesaulika shukuruni magu ndio alikuwa mwalimu mkaongezewa tokea 300k mpaka 500k sehemu nyingi hii ndio mishara Yao tulieni bahana mana ukifanya bidiii ndio wanaongezewa