Hakuna mwenye akili timamu atakayemuamini Mbowe na Chadema kuchangia hela? Kwanini hazindui ujenzi Arusha au Moshi?

Status
Not open for further replies.
Kwanza ninaamini Hana ushahidi wa anachokisema,

Pili, amekuwa na siasa za chuki na kichochezi zisizovumilka kwa kila mtanzania mwenye akili timamu na mwenye kupenda amani na utulivu...
Kwa iyo wewe unaweza kujua mipango mingi ya serikali kuliko Mbowe, kaa tulia mapungufu ya mwendazake lazima yawekwe wazi tz yetu wote
 
Uzuri wewe ni mfuasi wa Rais Samia ambaye ni CCM karibu kamanda
Mtu mwenye akili timamu hawezi kujiunga na CCM -wauaji, watekaji, wabambikia kesi, waporaji etc etc. Lkini wewe kwa vile huna akili ni member wa CCM
 
Uzuri wewe ni mfuasi wa Rais Samia ambaye ni CCM karibu kamanda
Sina sababu ya kumchukia Samia. Anaonekana kuchukia some of matendo ya Jiwe aliyokuwa akiyafanya ya kuumiza watu. Naye akikengeuka tutamsema na kumchukia.

Kwa leo sina sababu ya kumchukia ingawa naona SHE IS RE-CYCLING THE GARBAGE FROM HERE TO THERE.. let us wait and see. We need to give her time to make her mind, but how long? Time and her deeds will tell the limit
 
Nimemsikia Freeman Mbowe Mara kadhaa katika ziara zake amejikita sana katika kukosoa utawala wa Mwendazake Magufuli kuliko kujikita katika current issue za sasa....
Naungana na wewe kuzungumzia masuala ya watu so siasa na haifai kuwa ndiyo agenga ya kiongozi wa chama cha siasa chenye lengo la kutwaa uongozi wa nchi. Elezea sera za CHADEMA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom