Hakuna mwenye akili timamu atakayemuamini Mbowe na Chadema kuchangia hela? Kwanini hazindui ujenzi Arusha au Moshi?

Status
Not open for further replies.
UPUUZI MTUPU! Huyo dhalimu asiongelewe yeye nani? Dhuluma na udhalimu aliofanya nchini ikiwemo mauaji ya Watanzania chungu nzima ni sababu tosha kabisa ya kuanika uovu wake kila siku ambao bado unaendelea pia kaicha nchi katika hali mbaya sana kwenye kila sekta kutokana na udikteta wake.
Tunaomba Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ajiuzuru mara moja kwenye nyadhifa yake ya uenyekiti wa Chadema na tunaziomba mamlaka za dola zimuite Mbowe zimhoji kwa kina kuhusu kauli yake ya uchonganishi

Tunazisihi mamlaka za dola nchini Tanzania zisiwe na kigugumizi juu ya kuchukua hatua kali za kisheria kwa mtu yeyote bila kujali cheo chake na hadhi yake aliyonayo kijamii pale aonekanapo kuvuka msitari mwekundu wa kuharibu umoja Amani na mshikamano wa Watanzania

Vyombo vya dola visimuonee mtu haya kwenye masuala yanayolinda Tunu za Taifa letu

inapotokea kiongozi aliyekoswa sera na hoja za mantiki za kuwaletea maendeleo watanzania na akaamua kutumia udini au ukabila kuchonganisha watanzania Mtu huyu hatufai hata kidogo kwa hiyo vyombo vya dola ziyachukulie kwa uzito wake haya maneno

Mauwaji halaiki ya Rwanda yaliletwa na wanasiasa wenye tabia ya kutumia ukabila kuchonganisha watu Mbowe ana mtukana Marehemu ambaye ni baba wa familia aliye na ndugu zake anatumia lugha chafu ya kuudhi hali hii inachochea uhasama mkubwa tunamtaka Mbowe ajiuzuru mara moja na hatua kali za kisheria zichukuliwe juu yake chuki anayoihubiri Italeta taharuki kubwa ndani ya jamii ya Watanzania
 
Tunaomba Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ajiuzuru mara moja kwenye nyadhifa yake ya uenyekiti wa Chadema na tunaziomba mamlaka za dola zimuite Mbowe zimhoji kwa kina kuhusu kauli yake ya uchonganishi.

Tunazisihi mamlaka za dola nchini Tanzania zisiwe na kigugumizi juu ya kuchukua hatua kali za kisheria kwa mtu yeyote bila kujali cheo chake na hadhi yake aliyonayo kijamii pale aonekanapo kuvuka msitari mwekundu wa kuharibu umoja Amani na mshikamano wa Watanzania.

Vyombo vya dola visimuonee mtu haya kwenye masuala yanayolinda Tunu za Taifa letu.

inapotokea kiongozi aliyekoswa sera na hoja za mantiki za kuwaletea maendeleo watanzania na akaamua kutumia udini au ukabila kuchonganisha watanzania Mtu huyu hatufai hata kidogo kwa hiyo vyombo vya dola ziyachukulie kwa uzito wake haya maneno.

Mauwaji halaiki ya Rwanda yaliletwa na wanasiasa wenye tabia ya kutumia ukabila kuchonganisha watu Mbowe ana mtukana Marehemu ambaye ni baba wa familia aliye na ndugu zake anatumia lugha chafu ya kuudhi hali hii inachochea uhasama mkubwa tunamtaka Mbowe ajiuzuru mara moja na hatua kali za kisheria zichukuliwe juu yake chuki anayoihubiri Italeta taharuki kubwa ndani ya jamii ya Watanzania.
 
UPUMBAVU wako mwisho lumumba siyo humu.

Tunaomba Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ajiuzuru mara moja kwenye nyadhifa yake ya uenyekiti wa Chadema na tunaziomba mamlaka za dola zimuite Mbowe zimhoji kwa kina kuhusu kauli yake ya uchonganishi...
 
UPUMBAVU wako mwisho lumumba siyo humu.
Tunaomba Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ajiuzuru mara moja kwenye nyadhifa yake ya uenyekiti wa Chadema na tunaziomba mamlaka za dola zimuite Mbowe zimhoji kwa kina kuhusu kauli yake ya uchonganishi

Tunazisihi mamlaka za dola nchini Tanzania zisiwe na kigugumizi juu ya kuchukua hatua kali za kisheria kwa mtu yeyote bila kujali cheo chake na hadhi yake aliyonayo kijamii pale aonekanapo kuvuka msitari mwekundu wa kuharibu umoja Amani na mshikamano wa Watanzania

Vyombo vya dola visimuonee mtu haya kwenye masuala yanayolinda Tunu za Taifa letu

inapotokea kiongozi aliyekoswa sera na hoja za mantiki za kuwaletea maendeleo watanzania na akaamua kutumia udini au ukabila kuchonganisha watanzania Mtu huyu hatufai hata kidogo kwa hiyo vyombo vya dola ziyachukulie kwa uzito wake haya maneno

Mauwaji halaiki ya Rwanda yaliletwa na wanasiasa wenye tabia ya kutumia ukabila kuchonganisha watu Mbowe ana mtukana Marehemu ambaye ni baba wa familia aliye na ndugu zake anatumia lugha chafu ya kuudhi hali hii inachochea uhasama mkubwa tunamtaka Mbowe ajiuzuru mara moja na hatua kali za kisheria zichukuliwe juu yake chuki anayoihubiri Italeta taharuki kubwa ndani ya jamii ya Watanzania
 
Tunaomba Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ajiuzuru mara moja kwenye nyadhifa yake ya uenyekiti wa Chadema na tunaziomba mamlaka za dola zimuite Mbowe zimhoji kwa kina kuhusu kauli yake ya uchonganishi...
Aiseee.

Unataka uteuzi.

Zama za mawe zimepita.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Aiseee..
Unataka uteuzi.
Zama za mawe zimepita.
Tunaomba Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ajiuzuru mara moja kwenye nyadhifa yake ya uenyekiti wa Chadema na tunaziomba mamlaka za dola zimuite Mbowe zimhoji kwa kina kuhusu kauli yake ya uchonganishi

Tunazisihi mamlaka za dola nchini Tanzania zisiwe na kigugumizi juu ya kuchukua hatua kali za kisheria kwa mtu yeyote bila kujali cheo chake na hadhi yake aliyonayo kijamii pale aonekanapo kuvuka msitari mwekundu wa kuharibu umoja Amani na mshikamano wa Watanzania

Vyombo vya dola visimuonee mtu haya kwenye masuala yanayolinda Tunu za Taifa letu

inapotokea kiongozi aliyekoswa sera na hoja za mantiki za kuwaletea maendeleo watanzania na akaamua kutumia udini au ukabila kuchonganisha watanzania Mtu huyu hatufai hata kidogo kwa hiyo vyombo vya dola ziyachukulie kwa uzito wake haya maneno

Mauwaji halaiki ya Rwanda yaliletwa na wanasiasa wenye tabia ya kutumia ukabila kuchonganisha watu Mbowe ana mtukana Marehemu ambaye ni baba wa familia aliye na ndugu zake anatumia lugha chafu ya kuudhi hali hii inachochea uhasama mkubwa tunamtaka Mbowe ajiuzuru mara moja na hatua kali za kisheria zichukuliwe juu yake chuki anayoihubiri Italeta taharuki kubwa ndani ya jamii ya Watanzania
 
Katiba inampa kila raia uhuru wa kutoa maoni yake. Mbowe katoa maoni yake wewe unasema kamdharau mama.

Una akili kweli wewe?
Tunaomba Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ajiuzuru mara moja kwenye nyadhifa yake ya uenyekiti wa Chadema na tunaziomba mamlaka za dola zimuite Mbowe zimhoji kwa kina kuhusu kauli yake ya uchonganishi

Tunazisihi mamlaka za dola nchini Tanzania zisiwe na kigugumizi juu ya kuchukua hatua kali za kisheria kwa mtu yeyote bila kujali cheo chake na hadhi yake aliyonayo kijamii pale aonekanapo kuvuka msitari mwekundu wa kuharibu umoja Amani na mshikamano wa Watanzania

Vyombo vya dola visimuonee mtu haya kwenye masuala yanayolinda Tunu za Taifa letu

inapotokea kiongozi aliyekoswa sera na hoja za mantiki za kuwaletea maendeleo watanzania na akaamua kutumia udini au ukabila kuchonganisha watanzania Mtu huyu hatufai hata kidogo kwa hiyo vyombo vya dola ziyachukulie kwa uzito wake haya maneno

Mauwaji halaiki ya Rwanda yaliletwa na wanasiasa wenye tabia ya kutumia ukabila kuchonganisha watu Mbowe ana mtukana Marehemu ambaye ni baba wa familia aliye na ndugu zake anatumia lugha chafu ya kuudhi hali hii inachochea uhasama mkubwa tunamtaka Mbowe ajiuzuru mara moja na hatua kali za kisheria zichukuliwe juu yake chuki anayoihubiri Italeta taharuki kubwa ndani ya jamii ya Watanzania
 
Hakuna kosa lolote kisheria kumsema marehemu iwe vibaya au vizuri, ndio maana akina Nyerere, mitume kama Yesu Muhammad nk wanasemwa vizuri na vibaya...
Sasa wewe ndio umeongea point Sana mkuu, kwani akiharibikiwa yanawahusu Nini? Mataga waache kuweweseka atiiiiiiii, wamwache ateme nyongo mchaga wa watu jamani.
 
Clip zake kuwanena vibaya wasukuma atajutia uchaguzi ukikaribia mwacheni atapike tu.

Hajui unapogusa wasukuma unaongelea mkoa wa Tabora,Shinyanga,Geita, Simiyu,Mwanza na koto waliko tawanyika mikoa yote Tanzania.

Anapanda mbegu ya chuki kati ya Wasukuma na Wachaga,hajui kwamba kuna Wachaga wana biashara zao kanda ya ziwa je zisusiwe kwa vile ni wachaga?

Ndiyo maana wanataka sera za Majimbo.

Kubwa jinga.
 
Acha Muheshimiwa Mbowe atumie haki yake kikatiba. Kwani kuna tatizo gani!? Tunamshukuru M/Mungu kwa kuturahisishia, sasa twamuombea maisha marefu SASHA.
 
Bora amejionyesha rangi yake, watanzania watamjua na kumpima kwamba ni mtu aina gani.

Kumbe yupo kupambania UCHAGA na chama chake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom