Wanaume wa kaskazini waangaliwe upya wananyanyaswa sana na wanawake zao hakika

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu kwa masikitiko makubwa naandika

Sijui wanawake wa kaskazini wanaume zao waliwakosea nini, kiasi cha wanawake kuwapeleka mbio mbio na kuwanyanyasa wanaume zao

Wana mfumo dume uliobakia midomoni mwao ila ndani mfumo jike ndiyo unaotawala hakika na waambieni, wanawake wanawanyanyasa sana hawa wanaume wa huku

Ni wakaidi ukiwaona, wababe , wenye misimamo mikali na miili iliyo jaa na kutuna misuli kwa mbali ila ukweli usiopingika wananyanyaswa sana na wanawake zao siyo kwenye uchumba au ndoa wananyanyaswa kila sector mfano hakuna. Wanawake zao ni wababe, wanaume wa kasakazini wanapigwa kabali, ngumi , kuchomwa kisu ni jambo la kawaida sana na hawana pakusemea hakika wanagugumia mioyoni mwao

Wanaume wa kaskazini wanapigwa na wake zao huko ndani, hawana amani ya moyo na asilimia kubwa wana magonjwa ya presha na mishtuko ya hapa na pale wakisikia sauti za wake zao.

Wanaume wa kaskazini wanasonona kali inayowapelekea kuvuta bangi na kutumia pombe kali sana baada ya kunyanyaswa na wanawake zao kimapenzi huko ndani, wanapelekeshwa na kupelekwa mchaka mchaka na wanawake zao pasi na kuonewa huruma yeyote ile

Wanaume wengi wa kaskazini wengi wameburuzwa kibabe sana lockup na wake zao, mademu zao na wachumba zao pasi na sababu za msingi, wanahudhuria kesi na mashitaka wanayoshitakiwa na wake zao yasiyo na kichwa wala miguu, utawakuta serikali za mitaa wakishitakiwa , utawakuta kwenye mabaraza ya wazee wakishutumiwa na wengine utawakuta sero wametupwa huko na wake zao, huku wanawake zao kuingia mitini

Utawakuta wanafanya kazi kwa bidii sa a ila wananyang'anywa hela wafikapo ndani, wanawake wa kaskazini wanadiliki kuwasachi waume zao na kuchukua vyote jamaa alivyo vitafuta, mwanume hawapikiwi chakula wanaishi kula mighahawani na wengi wao wanachoteshwa maji huko mabombani na wake zao, wanajifulia wenyewe na kufata watoto shule tena kwa amri za wake zao na ole wao wasifanye hivyo watajaziwa inzi

Hawasikilizwi na wake zao kabisa na wakilazimisha kusikilizwa kukimbizwa na panga, kushikiwa beto, kutishiwa kuuwawa ni jambo la kawaida mno, wanaume wa kaskazini wananyanyasika mno na hakuna wa kuwasaidia

Haki sawa imeshamiri dhidi ya wanawake zao, wanawake kudanga , kutoka bila ruhusa ya mume na kumjia usiku ni jambo la kawaida , wanawake kuwatelekezea wanaume watoto ni fasion hata kuzivunja ndoa huku kaskazini ili mali igawanywe ni fasion kwao, wanaume wa huku hawana wa kuwasaidia wanapelekwa mbiombio na wake zao

Ndugu hawa wanaume wa kaskazini wanahitaji uangalizi wa karibu sana, wanahitaji kusaidiwa kisaikolojia, wanahitaji kufarijiwa na kuombewa hakika maana wanateswa sana na wake zao kiasi cha wao kuamua kuishia vijiweni kwenye bangi na matumizi ya pombe kali
 
mwanamke wa kaskazini anakula kitimoto kilo 2 alafu anakunywa na mbege kitoto ndoo, baada ya hapo usiku anacheulia na safari(bia) kubwa 5.

unakuta kapanda hewani ana kitambi na mwili mkubwa+nguvu, hivyo wanaume wanaogopa kupigwa😎
 
Attachments

  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    23.3 KB · Views: 4
Ndugu kwa masikitiko makubwa naandika

Sijui wanawake wa kaskazini wanaume zao waliwakosea nini, kiasi cha wanawake kuwapeleka mbio mbio na kuwanyanyasa wanaume zao

Wana mfumo dume uliobakia midomoni mwao ila ndani mfumo jike ndiyo unaotawala hakika na waambieni, wanawake wanawanyanyasa sana hawa wanaume wa huku

Ni wakaidi ukiwaona, wababe , wenye misimamo mikali na miili iliyo jaa na kutuna misuli kwa mbali ila ukweli usiopingika wananyanyaswa sana na wanawake zao siyo kwenye uchumba au ndoa wananyanyaswa kila sector mfano hakuna. Wanawake zao ni wababe, wanaume wa kasakazini wanapigwa kabali, ngumi , kuchomwa kisu ni jambo la kawaida sana na hawana pakusemea hakika wanagugumia mioyoni mwao

Wanaume wa kaskazini wanapigwa na wake zao huko ndani, hawana amani ya moyo na asilimia kubwa wana magonjwa ya presha na mishtuko ya hapa na pale wakisikia sauti za wake zao.

Wanaume wa kaskazini wanasonona kali inayowapelekea kuvuta bangi na kutumia pombe kali sana baada ya kunyanyaswa na wanawake zao kimapenzi huko ndani, wanapelekeshwa na kupelekwa mchaka mchaka na wanawake zao pasi na kuonewa huruma yeyote ile

Wanaume wengi wa kaskazini wengi wameburuzwa kibabe sana lockup na wake zao, mademu zao na wachumba zao pasi na sababu za msingi, wanahudhuria kesi na mashitaka wanayoshitakiwa na wake zao yasiyo na kichwa wala miguu, utawakuta serikali za mitaa wakishitakiwa , utawakuta kwenye mabaraza ya wazee wakishutumiwa na wengine utawakuta sero wametupwa huko na wake zao, huku wanawake zao kuingia mitini

Utawakuta wanafanya kazi kwa bidii sa a ila wananyang'anywa hela wafikapo ndani, wanawake wa kaskazini wanadiliki kuwasachi waume zao na kuchukua vyote jamaa alivyo vitafuta, mwanume hawapikiwi chakula wanaishi kula mighahawani na wengi wao wanachoteshwa maji huko mabombani na wake zao, wanajifulia wenyewe na kufata watoto shule tena kwa amri za wake zao na ole wao wasifanye hivyo watajaziwa inzi

Hawasikilizwi na wake zao kabisa na wakilazimisha kusikilizwa kukimbizwa na panga, kushikiwa beto, kutishiwa kuuwawa ni jambo la kawaida mno, wanaume wa kaskazini wananyanyasika mno na hakuna wa kuwasaidia

Haki sawa imeshamiri dhidi ya wanawake zao, wanawake kudanga , kutoka bila ruhusa ya mume na kumjia usiku ni jambo la kawaida , wanawake kuwatelekezea wanaume watoto ni fasion hata kuzivunja ndoa huku kaskazini ili mali igawanywe ni fasion kwao, wanaume wa huku hawana wa kuwasaidia wanapelekwa mbiombio na wake zao

Ndugu hawa wanaume wa kaskazini wanahitaji uangalizi wa karibu sana, wanahitaji kusaidiwa kisaikolojia, wanahitaji kufarijiwa na kuombewa hakika maana wanateswa sana na wake zao kiasi cha wao kuamua kuishia vijiweni kwenye bangi na matumizi ya pombe kali
Kaskazini ni kubwa mno, lqbda ungekuwa specific mkoa upi na jamii ipi ya kaskazini
 
Ndio kuna mchuga alijisifia humu.
Waache undezi jifunzeni kwa sisi wasukuma/wanyamwezi na wakurya.
Ukileta masihara unafumuliwa vitasa mtoto wa kike.
Munawachekea sana tatizo.
 
Wanaume wanalewa ,mpaka wake wanakimbilia kenya hizo nguvu watazitoa wapi ?
Wanawake wameshiba mtori ila wanaume wa kaskazini ni wembamba ,kazi kuvaa mashati oversize lazima wapigwe

cc Maghayo mzee wa mashati ya draft
Na ndivyo ilivyo wanapigwa mpaka wanaogopa kurudi kwenye viota vyao jioni walivyojenga wenyewe
 
Naishi Tengeru, nimezunguka kaskazini yote nikafika hadi Mashati Rombo, nimewaona hao unaowasema kuwa ni wanaume wa kaskazini wapo na ni warombo pekee.

Naomba usiharibu sifa zetu wanaume wa kaskazini
Hapo tengeru nimezunguka wanawake wa huko ni washari sana wanapiga vitasa mno japo kwa nje wana utii wa kujificha, nilishuhudia wanaume kadhaa wakifumuliwa na wanawake zao live mpaka wanakimbia wenyewe. Imagine mwanaume anapigwa na mke wake anakimbia nyumba,

Bila shaka wale wanawake walikua ni wameru
 
Back
Top Bottom