Haji Manara, ajiunga rasmi na WASAFI FM

Haji Manara, ajiunga rasmi na WASAFI FM

Kwani Musa Kipanya hana ithibati? 🤔.

Ila Mimi nilikuwa naikubali Ile combo ya Ian Dialo, David Rwenyagira, na DJ McCay (Make) pale Drive show ya EA radio, na Ile ya Bobby Mongi, Evance Bukuku, na Chris Lugoe kwenye Supa breakfast.
Mussa anayo ithibati.

Yes COmbo ya Drive Show - Ndinga Mpya Town hatari.
 
Back
Top Bottom