1979Magufuli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 439
- 1,756
Sasa hebu fikiria hadi Baba levo naye anachambua mpira akiwa na Oscar Oscar na Ed Kumwembe, Oscar wakati tunaangalia fainal ya Simba vs Stella Abidjan hakuwepo mjini, alikuwa mdogo akihangaika na masomo huko Tabora, Kitenge simbishii kwa sababu 1993 nilimuona uwanjani yeye Bin zubeir na hata Salehe jembe, hao wakiongea siwabishii.Mwingine ni Ibra Masoud
Hata Haji Manara simbishii kwa sababu anajua mpira ingawa sio mwendaji sana uwanjani, hao wanaweza kuchambua mpira ukawasikiliza, lakini Shaffih, Edo, Geoffrey, Ambangile, cjui Prisca, hao hawana tofauti na Baba levo.
Baba levo anachambua mpira akiwa Wasafi na watu wanamsikiliza, jamani, jamani.
Eti Simba kumkazia Al Ahly basi imeonekana Al ahly ameshuka kiwango, yaani Simba haina uwezo wa kushindana na Al Ahly, halafu kweli jamani mnapoteza muda wenu kuwasikiliza wahuni hao, hao sio wachambuzi ni wahuni kabisa kabisa.