Haijapata kutokea: Ndani ya Miezi 2 mastaa ya mpira duniani wanafurika Tanzania. Hongera Samia wewe ndo Deng Xiaoping wangu

Hao masupestar huwa wanakuja tu miaka yote, ila safari hii wakitokea tu wanadakww juu kwa juu ili kusaka kiki za kisiasa. Hawajaja kwasababu ya roho tua, bali mnataka kujustfy ile filamu ya Roho Tua kitu ambacho si kweli.
wanadakwaje juu juu wakati wanapost wenyewe kwenye pages zao za social media?

Au unataka waje Nairobi na Narok?
 
Ni kama ndoto ila ndo yanatokea kweli! Ndani ya miezi miwili mastaa wa mpira duniani wanaotambulika na kufahamika duniani kote wanamiminika Tanzania kwa fujo sana!

Mastaa hawa wanapiga picha kwenye mbuga zetu za Serengeti na Ngorongoro na maeneo ya Zanzibar na wanazipost kwenye pages zao kwenye mitandao ya kijamii, wanasema wako Tanzania, wanaitangaza Tanzania kwa dunia!

Tanzania tunaingiza madolali sio tu kwa hawa kuja ila kwa namna nchi yetu inavyozidi kuliteka soko la utalii la dunia

Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan, uongozi ni maarifa, uongozi ni busara , uongozi ni kutumia exposure yako katika kukamata fursa zilizopo duniani. Tanzania sasa inaonekana, watu wanaisema Tanzania, wanaijua Tanzania.

Naiona Tanzania tukifikisha watalii Mil 5 mwaka 2025. Naiona sekta ya Utalii ikiwa kinara tena kwenye kuchangia pato la Taifa na kuingiza fedha za kigeni

Huyo ndo Samia, ninayemuita Deng Xiaoping, The father of modern China. Kwangu Samia ndo the mother of Modern Tanzania.

Angalizo
Uzi huu ni ndimu kwa wale vibaraka wa Kenya mnaotaka kuua industry yetu ya Utalii ili Tanzania ife kiuchumi. Naomba mpite tu bila ku comment

Kwa wale pingapinga fc na Burundi gang hii ndo maana halisi ya uongozi uliojaa maarifa! Sijui kama mna swali lingine kuhusu Royal Tour?
View attachment 2272689View attachment 2272693View attachment 2272694View attachment 2272694View attachment 2272696View attachment 2272698View attachment 2272736
Mastaa wanaojulikana na kila mtu hata sisi tusiojua mpira unawajua?bila shaka unawajua
 
Nlidhani ungeorodhesha hio list ya mastaa,umeishia kuchanganya pich za badhi yao wakiwa uganda, any way huo ndo upeo wako. Natamn ujue kuwa utalii huo ni biashara za watu hakuna pesa inaingia hazina hapo.
 
Nlidhani ungeorodhesha hio list ya mastaa,umeishia kuchanganya pich za badhi yao wakiwa uganda, any way huo ndo upeo wako. Natamn ujue kuwa utalii huo ni biashara za watu hakuna pesa inaingia hazina hapo.
Eti wakiwa uganda??

Picha gani hapo ya uganda?

Endelea kuteseka ukiwa Narok poleni sana!

Sasa mfuge mifugo yenu huko huko Kenya acheni kutukimbizia wanyama wetu Ngorongoro na Serengeti maana Dunia inafurika sasa kuja kuwaona
 
View attachment 2272751

Abromavic Kilimanjaro hiyo Mkuu usiwe mjinga tafuta takwimu Tanzania ilishaiacha hadi Kenya kwa idadi ya watalii na kipato kitokanacho na utalii.

Nenda TANAPA HQ uliza watalii wameijuaje Tanzania.90% ni kupitia mawakala wa Utalii na si vinginevyo.
Inawezekana uko sahihi maana kuna mahali nilikuwa na kuulizwa natokea wapi, wengi kweli hawaijui Tanzania zaidi ni Africa kama nchi vile ila waliojua natokea Tanzania walianza kuniita serengeti, wengine ngorongoro na Kilimanjaro lakini kwangu ilikuwa poa tuu
 
Inawezekana uko sahihi maana kuna mahali nilikuwa na kuulizwa natokea wapi, wengi kweli hawaijui Tanzania zaidi ni Africa kama nchi vile ila waliojua natokea Tanzania walianza kuniita serengeti, wengine ngorongoro na Kilimanjaro lakini kwangu ilikuwa poa tuu
Mie niliwai kuulizwa kipindi nipo Canada kama natokea Tsmania! Watu walikuwa hawaijui Tanzania kwa kweli
 
Mimi ukiniambia nimchague nani kati ya Magufuli na Samia nitamchagua Samia kwa 100%.

Mimi ni Mkristo,Mwanaume na Mtanganyika.

Sababu ni hizi,Sijaona wala kusikia uwepo wa wasiojulikana.Hakuna kupotezwa hovyo hovyo.
Nakazia
 
Back
Top Bottom