Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,226
- 26,048
- Thread starter
- #21
saaana kwa kweliMama anaupiga mwingi.
saaana kwa kweliMama anaupiga mwingi.
Duuu Leo na wewe umegeuka? Vinyonga mnazidi kubadilika tuAisee hii ni aibu kubwa kama watu wa aina hii ndio wanafanya kazi ya kuipigania awamu hii.
Nasema hivi labda hujui utalii,wala haujawahi kujihusisha na Utalii.Sawa walikuwa wanakuja
Umewahi ona wamekuja wote hao ndani ya kipindi cha miezi miwili? Waliwahi post wako Tanzania?
Waliwahi post wakiwa mbuga za Tanzania au hata Zanzibar kwenye Beach zetu?
Kwa nini isiwe influence ya Royal Tour ndo inawafanya wafanye ivo?
Sawa walikuwa wanakuja

Unaweza thibitisha hii inahusiana vipi na ile filamu ya samia?Ni kama ndoto ila ndo yanatokea kweli! Ndani ya miezi miwili mastaa wa mpira duniani wanaotambulika na kufahamika duniani kote wanamiminika Tanzania kwa fujo sana!
Mastaa hawa wanapiga picha kwenye mbuga zetu za Serengeti na Ngorongoro na maeneo ya Zanzibar na wanazipost kwenye pages zao kwenye mitandao ya kijamii, wanasema wako Tanzania, wanaitangaza Tanzania kwa dunia!
Tanzania tunaingiza madolali sio tu kwa hawa kuja ila kwa namna nchi yetu inavyozidi kuliteka soko la utalii la dunia
Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan, uongozi ni maarifa, uongozi ni busara , uongozi ni kutumia exposure yako katika kukamata fursa zilizopo duniani. Tanzania sasa inaonekana, watu wanaisema Tanzania, wanaijua Tanzania.
Naiona Tanzania tukifikisha watalii Mil 5 mwaka 2025. Naiona sekta ya Utalii ikiwa kinara tena kwenye kuchangia pato la Taifa na kuingiza fedha za kigeni
Huyo ndo Samia, ninayemuita Deng Xiaoping, The father of modern China. Kwangu Samia ndo the mother of Modern Tanzania.
Angalizo
Uzi huu ni ndimu kwa wale vibaraka wa Kenya mnaotaka kuua industry yetu ya Utalii ili Tanzania ife kiuchumi. Naomba mpite tu bila ku comment
Kwa wale pingapinga fc na Burundi gang hii ndo maana halisi ya uongozi uliojaa maarifa! Sijui kama mna swali lingine kuhusu Royal Tour?
View attachment 2272689View attachment 2272693View attachment 2272694View attachment 2272694View attachment 2272696View attachment 2272698View attachment 2272736
Sawa walikuwa wanakuja
Umewahi ona wamekuja wote hao ndani ya kipindi cha miezi miwili? Waliwahi post wako Tanzania?
Waliwahi post wakiwa mbuga za Tanzania au hata Zanzibar kwenye Beach zetu?
Kwa nini isiwe influence ya Royal Tour ndo inawafanya wafanye ivo?
Sawa walikuwa wanakuja
Umewahi ona wamekuja wote hao ndani ya kipindi cha miezi miwili? Waliwahi post wako Tanzania?
Waliwahi post wakiwa mbuga za Tanzania au hata Zanzibar kwenye Beach zetu?
Kwa nini isiwe influence ya Royal Tour ndo inawafanya wafanye ivo?
Alipost kwenye page yake?View attachment 2272755
Obama Sasakwa Serengeti.
Alipost kwenye page yake?View attachment 2272751
Abromavic Kilimanjaro hiyo Mkuu usiwe mjinga tafuta takwimu Tanzania ilishaiacha hadi Kenya kwa idadi ya watalii na kipato kitokanacho na utalii.
Nenda TANAPA HQ uliza watalii wameijuaje Tanzania.90% ni kupitia mawakala wa Utalii na si vinginevyo.
Filamu imefanya Tanzania ijulikane zaidi hivyo kuvutia mastaa wengi zaidi kuja TanzaniaUnaweza thibitisha hii inahusiana vipi na ile filamu ya samia?
Ameulizasababu ya idadi yao kuja kwa wingi ndani ya muda mfupi.Nasema hivi labda hujui utalii,wala haujawahi kujihusisha na Utalii.
View attachment 2272744
Hapa yuko Serengeti Grumeti Reserve
Alipost kwenye page yake?Nasema hivi labda hujui utalii,wala haujawahi kujihusisha na Utalii.
View attachment 2272744
Hapa yuko Serengeti Grumeti Reserve
Filamu imefanya Tanzania ijulikane zaidi hivyo kuvutia mastaa wengi zaidi kuja Tanzania
Kikubwa zaidi baada ya filamu kuitangaza Tanzania na kuwa imetoka mwaka huu huu, hawa mastaa kuonyesha wako up to date wanaitangazia dunia kuwa nao wapo Tanzania. Ni mambo yanayofanyika kwenye dunia ya kisasa ila kama unatokea Burundi huwezi kuelewa
Hata mwaka huu ndege zimeshuka kutoka Israel na hata ndege za mashirika makubwa ambayo yamerudisha safari zake TanzaniaView attachment 2272776
Zilitua ndege 7 za Israel uwanja wa KIA mwaka 2018 sijui waliangalia hiyo Royal tour.
Kuanzia security yote ya KIA ilikuwa chini ya waIsrael.Ndege moja ilikuwa na abiria 170 X 7.
Msafara wao ulikuwa ukisindikizwa na jeshi la polisi.Tuache siasa za kitoto Utalii Tanzania upo juu hata kabla ya ujio wa Royal tour
Kibaya kinajitembeza.Aisee hii ni aibu kubwa kama watu wa aina hii ndio wanafanya kazi ya kuipigania awamu hii.
Wanaopinga wana sababu hizi
1) Ni Mzanzibari
2) Ni Muislam
3) Ni Jinsia Yake
Wazungu hupendelea zaidi wa namna hii ili kufanikisha uovu wao(huku wakitudharau)Aisee hii ni aibu kubwa kama watu wa aina hii ndio wanafanya kazi ya kuipigania awamu hii.
Dunia ilifungwa ila kuanzia mwaka jana ndo imeanza kufungukaBinafsi naamini impact ya Royal tour kwa watalii kufika haiwezi kuwa na muda mfupi hivi labda next season.
Hawa wanaokuja sasa nadhani wengi ilikuwa waje wakati wa covid wakafeli na sasa wamejikuta wamekuja kwa pamoja....
RT inaweza ikaboost market ndani ya muda mfupi kwa mfumo wa kuwakumbusha waliowahi kufika kuwapasha habari wengine kuwa waliwahi kuwepo eneo hilo linaloonekana kwenye movie.
Mfano kama mtu uone movie imeektiwa New york kwenye jengo ambalo wewe ulishafika na kulala, lazima utasema kwa wengine kuwa "I WAS THERE", Ila kwa idadi ya watalii nchini, kuanzia next season RT inaweza kupimwa kwa kulinganisha idadi.
Hatahivyo ile movie ipo tu haina expire date, ni marketing machine ya muda mrefu sana. Tunachotakiwa kufanya watanzania ni kuiboost kwenye social media.
Endelea kuteseka ndugu yangu! Vipi nikuongezee juice ya ndimu nini?😂Wazungu hupendelea zaidi wa namna hii ili kufanikisha uovu wao(huku wakitudharau)