Haijapata kutokea: Ndani ya Miezi 2 mastaa ya mpira duniani wanafurika Tanzania. Hongera Samia wewe ndo Deng Xiaoping wangu

Huu upotoshaji umekuwa kero sana.

Mfano, Unguja high season ndiyo ipo mbioni na hii ni kwa miaka yote na huko kaskazini ndiyo msimu huu not otherwise ila kuna watu humu wanatumia vibaya tour season kuimplement na ile sinema how!.

Yaani unabaki kushangaa kama si kusikitika.Hii maana yake tunadanganywa mambo mengi sana.
 
Nani kakwambia najikomba kwa Samia?

Nina shughuli zangu halali zinazoniingizia kipato zinazonifanya nisiwe na shida zozote duniani hapa!

Labda umeingia hapa juzi! Sinaga tabia hizo
Usibishe,mada zako zimejaa kujikombakomba tu.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kukuza mambo kama ufanyavyo.

Wewe na MUSIBA hamna tofauti.
Kwa mwanaume halisi hawezi kuwa na tabia kama zako.
Kuhusu wewe kuwa na kipato hata makahaba
nao wanakuwa na vipato,kwa hiyo kuwa kwako na kipato hakukufanyi kuwa mwanaume halisi
 
Nadhani sijui niseme ni ushamba au upotoshaji wa maksudi.

Miaka yote Kanda ya kaskazini miezi hii ndio high season.

Wamekuja kina Abromovic,Beckham,Bill Gate,Oboma & ......... bila hiyo royal tour.

Kabla ya ujio wa Covid 19 KIA zilikuwa zinashuka ndege 17 za mashirika mbali mbali ya kimataifa eg Turkish,Ethiopia,Quatar,Rwanda,Kenya, KLM .......... Israel wamewahi kuleta ndege 6 kwa mara moja na nk.

Royal tour haina lolote na ujio wa watalii Tanganyika.
Mizimu ya jiwe mnateseka sana
 
Huu ndo ushahidi wako?

Nimekwambia lete ushahidi wa hawa watu maarufu ku cancel booking zao 2019 na kuzibook tena mwaka huu

Sasa ulitaka nikuwekee Bank statement za kampuni za watu ndio uamini.Acha ushamba nimekwambia huku Kaskazini ni high season.

Miezi hii ni jambo la kawaida sana kupanda na kujikuta mpo waTanzania wawili au wanne katika ndege ya abiria 300.

ET wanakuwa na ndege moja inahudumia KIA na Zanzibar lakini high season zina kuwepo ndege 2 moja Zanzibar na nyingine Kilimanjaro.

Sasa wewe endelea na hiyo Royal Tour yako ambayo kama itafanyakazi basi itakuwa next season si sasa.
 
Nadhani sijui niseme ni ushamba au upotoshaji wa maksudi.

Miaka yote Kanda ya kaskazini miezi hii ndio high season.

Wamekuja kina Abromovic,Beckham,Bill Gate,Oboma & ......... bila hiyo royal tour.

Kabla ya ujio wa Covid 19 KIA zilikuwa zinashuka ndege 17 za mashirika mbali mbali ya kimataifa eg Turkish,Ethiopia,Quatar,Rwanda,Kenya, KLM .......... Israel wamewahi kuleta ndege 6 kwa mara moja na nk.

Royal tour haina lolote na ujio wa watalii Tanganyika.
Unateseka ukiwa wapi?
 
Maneno matupu kila mtu anaweza kuongea

Hizi zako ni ngonjera tu
 
Usibishe,mada zako zimejaa kujikombakomba tu.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kukuza mambo kama ufanyavyo.

Wewe na MUSIBA hamna tofauti.
Kwa mwanaume halisi hawezi kuwa na tabia kama zako.
Kuhusu wewe kuwa na kipato hata makahaba
nao wanakuwa na vipato,kwa hiyo kuwa kwako na kipato hakukufanyi kuwa mwanaume halisi
Nina kipato cha kukuajiri wewe na ukoo wenu mzima

Sihitaji kujikomba ili niishi
 
Nadhani sijui niseme ni ushamba au upotoshaji wa maksudi.

Miaka yote Kanda ya kaskazini miezi hii ndio high season.

Wamekuja kina Abromovic,Beckham,Bill Gate,Oboma & ......... bila hiyo royal tour.

Kabla ya ujio wa Covid 19 KIA zilikuwa zinashuka ndege 17 za mashirika mbali mbali ya kimataifa eg Turkish,Ethiopia,Quatar,Rwanda,Kenya, KLM .......... Israel wamewahi kuleta ndege 6 kwa mara moja na nk.

Royal tour haina lolote na ujio wa watalii Tanganyika.
Ndio maana mimi sichangii.
 
Ni kama ndoto ila ndo yanatokea kweli! Ndani ya miezi miwili mastaa wa mpira duniani wanaotambulika na kufahamika duniani kote wanamiminika Tanzania kwa fujo sana!

Mastaa hawa wanapiga picha kwenye mbuga zetu za Serengeti na Ngorongoro na maeneo ya Zanzibar na wanazipost kwenye pages zao kwenye mitandao ya kijamii, wanasema wako Tanzania, wanaitangaza Tanzania kwa dunia!

Tanzania tunaingiza madolali sio tu kwa hawa kuja ila kwa namna nchi yetu inavyozidi kuliteka soko la utalii la dunia

Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan, uongozi ni maarifa, uongozi ni busara , uongozi ni kutumia exposure yako katika kukamata fursa zilizopo duniani. Tanzania sasa inaonekana, watu wanaisema Tanzania, wanaijua Tanzania.

Naiona Tanzania tukifikisha watalii Mil 5 mwaka 2025. Naiona sekta ya Utalii ikiwa kinara tena kwenye kuchangia pato la Taifa na kuingiza fedha za kigeni

Huyo ndo Samia, ninayemuita Deng Xiaoping, The father of modern China. Kwangu Samia ndo" THE MOTHER OF MODERN TANZANIA"

Angalizo
Uzi huu ni ndimu kwa wale vibaraka wa Kenya mnaotaka kuua industry yetu ya Utalii ili Tanzania ife kiuchumi. Naomba mpite tu bila ku comment

Kwa wale pingapinga fc na Burundi gang hii ndo maana halisi ya uongozi uliojaa maarifa! Sijui kama mna swali lingine kuhusu Royal Tour?
View attachment 2272689View attachment 2272693View attachment 2272694View attachment 2272694View attachment 2272696View attachment 2272698View attachment 2272736
Wacha MAPAMBIO yakoleee😀😀
 
Nina kipato cha kukuajiri wewe na ukoo wenu mzima

Sihitaji kujikomba ili niishi
We si ndio ulikuwa unalialia humu kipindi cha MAGUFULI ukidai eti maisha magumu, mara oooh! anatutesa na vingi tu halafu eti leo ujifanye kuniajiri mimi!!?? Hivi uongo unakusaidia nini?
 
Ni kama ndoto ila ndo yanatokea kweli! Ndani ya miezi miwili mastaa wa mpira duniani wanaotambulika na kufahamika duniani kote wanamiminika Tanzania kwa fujo sana!

Mastaa hawa wanapiga picha kwenye mbuga zetu za Serengeti na Ngorongoro na maeneo ya Zanzibar na wanazipost kwenye pages zao kwenye mitandao ya kijamii, wanasema wako Tanzania, wanaitangaza Tanzania kwa dunia!

Tanzania tunaingiza madolali sio tu kwa hawa kuja ila kwa namna nchi yetu inavyozidi kuliteka soko la utalii la dunia

Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan, uongozi ni maarifa, uongozi ni busara , uongozi ni kutumia exposure yako katika kukamata fursa zilizopo duniani. Tanzania sasa inaonekana, watu wanaisema Tanzania, wanaijua Tanzania.

Naiona Tanzania tukifikisha watalii Mil 5 mwaka 2025. Naiona sekta ya Utalii ikiwa kinara tena kwenye kuchangia pato la Taifa na kuingiza fedha za kigeni

Huyo ndo Samia, ninayemuita Deng Xiaoping, The father of modern China. Kwangu Samia ndo" THE MOTHER OF MODERN TANZANIA"

Angalizo
Uzi huu ni ndimu kwa wale vibaraka wa Kenya mnaotaka kuua industry yetu ya Utalii ili Tanzania ife kiuchumi. Naomba mpite tu bila ku comment

Kwa wale pingapinga fc na Burundi gang hii ndo maana halisi ya uongozi uliojaa maarifa! Sijui kama mna swali lingine kuhusu Royal Tour?
View attachment 2272689View attachment 2272693View attachment 2272694View attachment 2272694View attachment 2272696View attachment 2272698View attachment 2272736
Kama ni nyingi mbona mwigulu nchemba anataka kila mtanzania awe tin certificate ili alipe kodi?
 
Sasa hivi ndio mmejua haya ? Yani awamu hii mataga wote mmekuwa critical thinkers!smh
Huu upotoshaji umekuwa kero sana.

Mfano, Unguja high season ndiyo ipo mbioni na hii ni kwa miaka yote na huko kaskazini ndiyo msimu huu not otherwise ila kuna watu humu wanatumia vibaya tour season kuimplement na ile sinema how!.
 
Mm sion impact ya royal, kwan kuja kwa hao mastaa ndo useme ivo .
Hao sio wa kwanza kuja bongo.acha kutupa sumu.

Hahaa au na ww ndo mmoja wapo mnao kula asali ya nchi
 
Ni kama ndoto ila ndo yanatokea kweli! Ndani ya miezi miwili mastaa wa mpira duniani wanaotambulika na kufahamika duniani kote wanamiminika Tanzania kwa fujo sana!

Mastaa hawa wanapiga picha kwenye mbuga zetu za Serengeti na Ngorongoro na maeneo ya Zanzibar na wanazipost kwenye pages zao kwenye mitandao ya kijamii, wanasema wako Tanzania, wanaitangaza Tanzania kwa dunia!

Tanzania tunaingiza madolali sio tu kwa hawa kuja ila kwa namna nchi yetu inavyozidi kuliteka soko la utalii la dunia

Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan, uongozi ni maarifa, uongozi ni busara , uongozi ni kutumia exposure yako katika kukamata fursa zilizopo duniani. Tanzania sasa inaonekana, watu wanaisema Tanzania, wanaijua Tanzania.

Naiona Tanzania tukifikisha watalii Mil 5 mwaka 2025. Naiona sekta ya Utalii ikiwa kinara tena kwenye kuchangia pato la Taifa na kuingiza fedha za kigeni

Huyo ndo Samia, ninayemuita Deng Xiaoping, The father of modern China. Kwangu Samia ndo" THE MOTHER OF MODERN TANZANIA"

Angalizo
Uzi huu ni ndimu kwa wale vibaraka wa Kenya mnaotaka kuua industry yetu ya Utalii ili Tanzania ife kiuchumi. Naomba mpite tu bila ku comment

Kwa wale pingapinga fc na Burundi gang hii ndo maana halisi ya uongozi uliojaa maarifa! Sijui kama mna swali lingine kuhusu Royal Tour?
View attachment 2272689View attachment 2272693View attachment 2272694View attachment 2272694View attachment 2272696View attachment 2272698View attachment 2272736
COMRADE DENG XIAOPING HUYU HUYU AU MWENGINE😄👇
009468839_1-7d0fba7fbb068628b6bdd2e3eae86d30.png

Deng-Xiaoping-1978(0).jpg

636px-Deng_Xiaoping_and_Jimmy_Carter_at_the_arrival_ceremony_for_the_Vice_Premier_of_China._-_...jpg
 
Yaani unabaki kushangaa kama si kusikitika.Hii maana yake tunadanganywa mambo mengi sana.
Wengine wanajiita waandishi nguri au mtu yupo ofisi ya serikali anaandika nadhani kwa kujikomba eti royo tua inamwaga watalii na hoteli zimejaa!.
 
Ni kama ndoto ila ndo yanatokea kweli! Ndani ya miezi miwili mastaa wa mpira duniani wanaotambulika na kufahamika duniani kote wanamiminika Tanzania kwa fujo sana!

Mastaa hawa wanapiga picha kwenye mbuga zetu za Serengeti na Ngorongoro na maeneo ya Zanzibar na wanazipost kwenye pages zao kwenye mitandao ya kijamii, wanasema wako Tanzania, wanaitangaza Tanzania kwa dunia!

Tanzania tunaingiza madolali sio tu kwa hawa kuja ila kwa namna nchi yetu inavyozidi kuliteka soko la utalii la dunia

Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan, uongozi ni maarifa, uongozi ni busara , uongozi ni kutumia exposure yako katika kukamata fursa zilizopo duniani. Tanzania sasa inaonekana, watu wanaisema Tanzania, wanaijua Tanzania.

Naiona Tanzania tukifikisha watalii Mil 5 mwaka 2025. Naiona sekta ya Utalii ikiwa kinara tena kwenye kuchangia pato la Taifa na kuingiza fedha za kigeni

Huyo ndo Samia, ninayemuita Deng Xiaoping, The father of modern China. Kwangu Samia ndo" THE MOTHER OF MODERN TANZANIA"

Angalizo
Uzi huu ni ndimu kwa wale vibaraka wa Kenya mnaotaka kuua industry yetu ya Utalii ili Tanzania ife kiuchumi. Naomba mpite tu bila ku comment

Kwa wale pingapinga fc na Burundi gang hii ndo maana halisi ya uongozi uliojaa maarifa! Sijui kama mna swali lingine kuhusu Royal Tour?
View attachment 2272689View attachment 2272693View attachment 2272694View attachment 2272694View attachment 2272696View attachment 2272698View attachment 2272736
DENG XIAOPING SIO FATHER OF MODERN CHINA 🇨🇳 BALI MAO ZEDONG NDIO FATHER OF MODERN CHINA 🇨🇳👇
1*FT_l778XG_flD5cgtv92sw.jpeg
 
Nani kakwambia najikomba kwa Samia?

Nina shughuli zangu halali zinazoniingizia kipato zinazonifanya nisiwe na shida zozote duniani hapa!

Labda umeingia hapa juzi! Sinaga tabia hizo
Huna kipato wewe unategemea kulipwa baada ya kupiga porojo za kumtetea samia
 
Back
Top Bottom