Borakufa
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 1,503
- 390
Sheria zinasemaje? ataruhusiwa kugombea tena?
Ameruhusiwa si ataruhusiwa! Unajua jaji katoa hukumu kimtego na akamsihi Lema akate rufaa kama anaona haki haikutendeka na alifanya ivyo akijua Lema atachagua njia fupi ya kuendelea kuwa mbunge kwa kukata rufaa. Kwa bahati mbaya Lema kachagua njia ndefu ya acha uchaguzi urudiwe na atagombea tena!! Jaji kusikia hivyo Kapanic yani baada ya hukumu amekuwa biz na simu mpaka ameona ofisini hakufai amenda kukaa kwenye gari mpaka mie naondoka mahakamani bado anaongea na simu!