Godbless Lema avuliwa ubunge

Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.
Baada ya mahakama ya Arusha kumvua ubunge aliyekuwa mbunge wa Arusha mh Lema, pia mahakama imemwambia sheria inamruhusu kugombea tena bila kipingamizi na ametakiwa kulipa gharama zote za kesi iliyoendeshwa, na LEMA kakubali hukumu na kufurahi kuwa mahakama imemruhusu kugombea na kasema atalipa hizo gharama za kesi.

SOURCE: WANDISHI WA HABARI WA MAGIC FM WALIOKUWA MAHAKAMANI ARUSHA.
 
kwanini amevuliwa jamani hii kesi ilikua inahusiana na nini?
 
ccm wamekwisha .. sasa ni mahakama tuuu ndo mkombozi wao wanayemtegemeaa.. lakini tutawapiga chiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
CCM wanajisumbua tu hawna chao Arusha.
 
Every actions of CCM nowdays are a catalyst for their own downfall.The election will be held again,they have nothing to say to people,they will lose again and continue pointing fingers to each other.And the thing is their first failure is in appointing who will contest for the post from their team.Well done CCM we actually wish to see you dying sonner than later

He he he heeee yule mkurugenzi wa arusha na Lema aliyekuwa anamtukana sasa ndio msimamizi wa uchaguzi kazi ipo sijui kama atatoka
 
Lama anaongea Live redioni, anasema kuwa hajastushwa na kuondolewa Ubunge maana ni mipango iliyowekwa toka zamani.
 
Mhe Lema amevuliwa Ubunge kwa sababu tu ya ujasiri wake kiasi cha kutanguliwa jela kabla ya kukamatwa.
Nawamba wapiganaji wote kambi iliyokuwa Arumeru kuhamia Arusha mjini kuhakikisha kwamba Lema anarejeshwa Bungeni kwa mara ya pili.Ikumbukwe kwamba Lema ndiye aliyejitoa kwa gharama ya kifo kulinda kura za Nassary zisiibiwe!!


Leo hii Serikali inayoshindwa kulipa mishahara ya vyombo vya dola na Madaktari wameamua kutapanya mali kwa kutengua ubunge ambao utagharimu zaidi ya 20billions mbali na rushwa ambazo watu binafsi kama Lowassa watatoa rushwa.

Mtakumbuka kuwa Yusufu makamba alisha toa order kuwa wabunge wake nchi nzima wawafungulie kesi wabunge wa upinzani ili waenguliwe na sasa zipo kesi zaidi ya 40 nchi nzima ambaozo gharama ya kuizindeshe ni kubwa na kutengua kutaleta hasara ya zaidi ya 500billis.
Wakati hayo yakiendelea kesi zote za EPA zinazowausu Makada wa CCM zimewekwa kando , sasa dawa ni Moja , arumeru wameonyesha Njia!!!

Sheria zinasemaje? ataruhusiwa kugombea tena?
 
Nadhani ni kosa la rushwa tu ndo mtu haruhusiwi kugombea tena..hapa ni kujipanga tu kurudisha jimbo letu
 
Arusha itarudi kwenye mikono ya haki baada ya jaji wa mahakama kupoteza weledi wake kwa mshiko.

Hakuna kulala tunarudi A town kuchukua jimbo.

Relax Lema mjengoni utarudi ulipelekwa na wana A town na wala si mahakama na hao hao watakurudisha tena mjengoni.

Pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
wameamua kufanya hivyo mwisho wa siku bado jimbo litabaki kwa CDM hizi ni njama za mafisadi tu.
 
Ninachoamini ni kwamba wanazidi kuipatia popularity Cadema ili ichukua na majimbo mengi zaidi
 
Policcm imechemka,sasa wamekuja na mahakamaccm,ni ghafla sana lakini itasaidie kuimarisha cdm kwa kampeni,kampeni zikaanza itakuwa ni moja ya mipangilio ya m4c.
 
NAIPENDA CCM INAVYOAMUA KUJIUA YENYEWE HII NI ISHARA YA KUWA WAO NA PESA NA MADARAKA YAO SISI NA MUNGU WETU MPAKA MWISHO HUU NI UPEPO WA KISULI SULI NA KWA NAMNA YOYOTE CCM WANAENDELEA KUJIUA MAANA UCHAGUZI UKIRUDIWA HATA KAMA ITAKUWA LINI NI LAZIMA CDM ITASHINDA KWA KISHINDO KULIKO ARUMERU NA HAPO NDIO CCM ITAKUFA NA KUENDELEA KUJICHIMBIA KABURI NA KUPOTEA KABISA

""WAO WANA PESA SISI TuNAE MUNGU""
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom