Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.

1800

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
2,215
2,000
yap kwa mujibu wa mahakama anaruhusiwa kugombea tena na amesema hatakata rufaa wakutane tena ulingoni...source magic fm

Ndio dawa yao,yaani hawa jamaha hata hawatumii akili,wao target yao ilikua Lema akate rufaa ili jimbo liwe wazi mpaka 2015,kumbe wanavyowaza wao na jaji wao Lema alishaona mapema,c.c.m ni chama cha ajabu sana,eti kesi hukumu ilishajulikana toka wiki zilizopita!what a shame!mahakama ni muhimili unaojitegemea kweli?au unapelekwa kwa matakwa ya watu kwa baadh ya kesi?hata kesi ya Zombe hukumu haikuvuja mitaani kama hii ya Lema!haya tunamtaka na baba Mwanaasha nae aje jukwaani wakati wa kampeni!c.c.m hamtakiwi lazima mjue ilo,na mkiforce mtapelekea nchi pabaya na mwishowe mtakuja kujikuta wengi wenu mko behind bars
 

nashy

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
679
195
hiyo ndio gharama ya mapinduzi, ni lazima tuamue hata kufa ili kulikomboa taifa. The future is now, amkeni wote tuikomboe tanzania
 

Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,237
2,000
Nguvu ya Lowassa kwenye Dola ni kubwa ila nguvu ya wananchi ni sauti ya Mungu
hahaaha....pole, naona umekuwa mpoleee!
Hongera sana kwa kutoa ile Prefix kwenye jina lako cuz ulikuwa unadhalilisha sana!!
 

sanagu jr

New Member
Apr 5, 2012
1
0
kipigo kiko pale pale, CHADEMA in a new mission again 2 accomplish yaliyotokea arumeru ni picha halisi ya kitakachofanyika pale A town.!
 

Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
14,070
2,000
Mods unganisheni hiz threads za Lema, zimekuwa nyingi mno wakati source ni moja
 

Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
41,275
2,000
Yaelekea kimekuuma sana,,,,,pole sana, tunataka Tanzania inayoendeshwa kwa misingi mizuri. Kwa personal attack aliyoifanya Lema dhidi ya mpinzani wake hakustahili kabisa kuliwakilisha jimbo lenye hadhi kama Arusha mjini bungeni
Ningekuwa ni mshauri wa CCM nisingewashauri wafanye kosa hili, Mweleka watakaopigwa Arusha Mjini utawafanya mpaka vipofu waanze kuona na viziwi watasikia kwaba CCM sasa Bye Bye. hili ni kosa kubwa sana la kikamkakati wamelifanya CCM. Watalijutia hili.
Na kama una ndugu ana nia ya kuchukuwa fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kwenye kura za maoni ni vizuri ukamshauri hasifanye hivyo ni kupoteza muda na pesa tu.
 

Chademason

Member
Apr 2, 2012
65
0
Chadema hata wakisimamisha jiwe dhidi ya mgombea wa ccm bado itashinda tu. So hakuna sababu ya kukata rufaa.
 

Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,355
2,000
Mimi naona niachane na mambo siasa. Siasa itasababisha mauti yangu, siku marehemu Regia alipochakachuliwa live mchana kweupe, roho iliniuma cna kipomo!..then akaja akafa, sikuambii! Haya tena leo, cku yangu ishaaribika,na wiki yote hii cwezi kurudi ktk hali yangu ya kawaida! Mi naona niachane na siasa. Kwanini nipate shida, taabu, kwa mambo siyo yangu? Kuanzia sasa,jukwaa la siasa basi!
Pole sana Mkuu. Siasa kazi mkuu. Juzi umefurahi leo unazinguliwa
 

Balozi Chriss

Senior Member
Jan 21, 2011
154
0
ITAFAHAMIKA TU.....Kesi hizi anayezichochea ni CCM(Serikali) na zinasababisha matumuzi yasiyo ya lazima ya kodi zetu.CHADEMA ni nguvu ya umma,basi na hodi Jimbo wanalichukua tena..
 

Nam...

Member
Nov 11, 2011
51
0
Kwakweli ni pigo kwa wana CHADEMA lakini inawezekana jimbo likarudi kama hawatafanya uchakachuaji, lakini Siasa hizi hazipendezi kumaliza ARUMERU kunaanzisha libeneke lingine kweli hakuna pandikizi la mataifa ya nje?
 

HeartBreak

JF-Expert Member
Apr 21, 2008
346
170
katika nchi maskini kama hii ukiona jaji anatoa hukumu bila kufikiria.....basi ujue jaji ni ccm na anatumiwa na ccm.....mungu ibariki tanzania....ARUSHA PAMENUKA!!!
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom