Ntale Wi Isumbi
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 480
- 127
Bado kuna 'ushindi' katikati ya 'kushindwa' kesi. Aluta continua..... viva Arusha, viva Chadema, viva Lema
hayo ni maneno ya losers...Wakuu, ilivyo ni kwamba ccm watafanya kila mbinu ili Lema asirudi kugombea tena!
Atateuliwa mgombea mwingine wa cdm, ambaye ataghilibiwa kwa fedha, na ataamua kujitoa katikati ya mchakato, na hivyo kuipa ccm nafasi ya kuibuka!
Mateso ya wenye haki ni mengi.cdm tushangilie,Lema usikate tamaa jipe moyo,tuko pamoja mafisadi hawaja shinda,m4c viva
Lema amepigwa chini.... Hata hivyo ccm wahangaika bure maana hata uchaguzi ukirudiwa leo watapigaragazwa kwa mbali
Kudadeki! Huyo lema asahau kabisa kiti hicho.... Arudi kwenye fani yake ya awali.
We Job Lusinde nini? Maana mwenzio alisema yeye ni kichaa wa kuzaliwa sijui kama na wewe ni hivohivo.Nipo hapa viwanja vya mahakama kuu kanda ya Arusha, Kilaza LEMA kapigwa chini. Semeni sasa nyie magwanda. Chezea CCM nyie!!!!! Niliwaambia jana mkaleta mboyoyo zenu
Legal point of View: Anayo haki ya kukata rufaa kisheria na anaweza kushinda. Yote yanawezekana!
Nipo hapa viwanja vya mahakama kuu kanda ya Arusha, Kilaza LEMA kapigwa chini. Semeni sasa nyie magwanda. Chezea CCM nyie!!!!! Niliwaambia jana mkaleta mboyoyo zenu
R.I.P godbless lema.