Chini ya utawala wa ccm hii hakujawahi kuwa na haki kwa wanyonge na haitakaa itokee haki ikatolewa kwa wanyonge. Ni jukumu letu sasa kuhakikisha 'at any cost' ikibidi uhai wetu, tunauondoa utawala huu dhalimu kwa mustakabali mwema na ustawi wa nchi yetu na watz kwa ujumla.
Watz wenzangu wapenda nchi hii tupambane kuikomboa nchi yetu kutoka mikononi mwa watu wasiopenda kutenda haki, mafisadi, wezi na wengine wa kariba hii kwa njia yoyote iliyokaribu yetu. Tutumie mitandao ya kijamii, 'word of mouth' print media, tv na njia zinginezo na tusichague 'battle ground' kwani adui yetu anapambana nasi mahali na wakati wote, na kubwa zaidi tuwe wazalendo wakati wote wa mapambano hayo na tujitolee kwa nafsi na mali.