CCM wanasubiri Lema asimamishwe kugombea tena na watamuwekea pingamizi, lakini pia watatumia sana hoja ya kwa nini wachaga waongoze Arusha, hivyo watawagawa wananchi.
Sasa kwa sababu Watanzania tunatarajia kumkabidhi nchi Dr Slaa mwaka 2015, nadhani itakuwa vizuri kama nafasi ya Ubunge ya Arusha mjini tukimweka Dr Slaa ambaye nina uhakika atashinda kwa asilimia 98.
Viongozi wa CHADEMA liangalieni hili, kaeni chini na Lema, na Lema apewe majukumu mengine ya chama.
Slaa kuwa mbunge itakuwa ni nafasi nzuri ya kujiandaa kuongoza taifa kuanzia mwaka 2015.