Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,200
- 99,934
Wasilolijua ni kwamba wanawapa credit CDM kuzidi kuwaelimisha wananchi dhidi ya dhuluma ya CCM
Yote ni sehemu ya demokrasia; litakuwa somo pia kwa watu wengine wakisimama wakati wa kampeni wachunge wanachosema. Ina gharama.
Mkuu PakaJimmy,
Nilijua Lema atapigwa chini ushahidi wa wanaCCM ulikuwa mzito sana sijui kama ataruhusiwa kugombea walioko mahakamani tafadhali mtujuze
kinachoendelea.
Yote ni sehemu ya demokrasia; litakuwa somo pia kwa watu wengine wakisimama wakati wa kampeni wachunge wanachosema. Ina gharama.