Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,094
Number 8
Sio la kwanza mkuu angalia vizur ilo pipa 0 juu lina sehemu la kutolea maji kwa iyo haliwezi kujaa mpaka mengine yajaye apo pipa litakalo jaa kwanza ni lile linaloingiza maji wakat huo huo halitoi Maji kwingine cheki vzr mapipa mengi apo yana sehemu za kutolea maji tena mengine yametobolewa chini kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Navyoona hakuna pipa lolote litakalo jaa maji kwa kuwa hiyo ni Picha tu ya bomba na mapipa na sio kitendo halisi, other wise naona kama maji hayajalenga vizuri kwenye pipa no. 0 au macho yangu??Ndugu zangu habari za wakati huu?
Kati ya mapipa (tanks) haya, ni lipi unafikiri litakuwa la kwanza kujaa maji?
View attachment 554041
11 > 10 > 7 > 8 > 9 > 6 > 5 > 4 > 3 > 2 > 1 > 0
mapipa yatajaa kwa sequence hii 7-11-10-3-8-4-9-5-6-1-2-0.
Mtirirko sahihi ni huu 7-11-10-3-8-4-9-5-6-1-2-0
Yatajaa kwa mfuatano huu:
11-10-7-8-9-6-5-4-3-2-1-0
Fast ukiapply bernourll's na archiemerds prinples itakuwa kama ifuatavo
7,11,10,3,8,4,9,5,6,12, halafu kitu cha 0 kinamalizia
Ni lazima maji yajae kwenye 3 kabla hayajaenda kwenye 8wakuu hebu pitieni hii vizuri
7, 11, 10, 8, 9, 6, 5, 4, 3, 2, 1, 0
Do Something 2day That Your Future Will Thank You 4
nakuomba angalia vizuri kumbuka tatu anatoaNi lazima maji yajae kwenye 3 kabla hayajaenda kwenye 8
Ebu jiulize vizuri, 7 itajaaje kabla ya 11 na 10?wakuu hebu pitieni hii vizuri
7, 11, 10, 8, 9, 6, 5, 4, 3, 2, 1, 0
Do Something 2day That Your Future Will Thank You 4
hapa ndipo kuna point of contradictionEbu jiulize vizuri, 7 itajaaje kabla ya 11 na 10?
Lile tobo la kwenye pipa namba 7 linazuia pipa 7 kujaa pomoni mpaka kwanza mapipa namba 11 na kisha namba 10 yajae kwanza.
Rejea kujaa kwa pipa ni usawa wa hicho kizibo cha blue juu ya pipa,juu ya hapo blue, sasa 7 haiwezi kufika pale kwa sababu shimo la kupeleka pipa namba 11 na 10 lipo chini ya kizibo hicho.Hivyo namba 7 haiwezi kujaa mpaka kwanza 11 na 10 zijae.
Note: kizibo hicho kipo wazi ndio maana maji yanapita, hivyo kujaa ni usawa juu ya blue.