molecule2004
Member
- Jun 28, 2025
- 24
- 51
Za muda huu ndugu zangu poleni na majukumu ya siku ,Kwa anaefahamu utaratibu wa kupata mkopo tena kwa mwanafunzi aliesitishaga masomo kwenye degree akiwa mwaka wa kwanza sasa anataka kurudi chuo kikuu katika fani nyingine,ni taratibu gani zakufuata