Kicheche mkali
JF-Expert Member
- Nov 3, 2021
- 290
- 265
MNARA WA TANK LA MAJI — SEHEMU YA 1/6
UNATAKA KUJENGA MNARA WA TANK LA MAJI? USIANZE NA NGUZO!Watu wengi wanaanza kwa kuuliza:
❌ “Nguzo ziwe na ukubwa gani?”
❌ “Niweke nondo mm ngapi?”
❌ “Msingi uchimbwe kiasi gani?”
Lakini swali la kwanza linapaswa kuwa:
👉 TANK LITAKUWA NA UWEZO GANI NA MNARA UTAKUWA NA UREFU GANI?
Kwa sababu tank la maji linapojazwa, uzito wake unaongezeka sana.
💧 Lita 1,000 za maji ≈ tani 1 ya maji.
Hivyo tank la 5,000L likiwa limejaa lina takriban tani 5 za maji, kabla hata hujaongeza uzito wa tank lenyewe na structure ya mnara.
VITU VYA KWANZA KUJUA:
✅ Ujazo wa tank✅ Urefu wa mnara
✅ Aina ya tank
✅ Eneo litakapojengwa
✅ Aina ya udongo
✅ Mfumo wa support
✅ Mizigo ya maji + tank + structure
✅ Athari za upepo na stability
⚠️ Usijenge mnara kwa kuiga mnara wa jirani.
Mnara wa tank si sawa na nyumba ya kawaida. Design yake inapaswa kuangalia mzigo wa tank likiwa limejaa, pamoja na stability ya structure.
━━━━━━━━━━━━━━━━━━
🏗️ KELVIN HK BUILDERS
Tunajenga kwa UBORA
📐 RAMANI — BURE
📊 MCHANGANUO WA GHARAMA NA VIPIMO — UNALIPIA
━━━━━━━━━━━━━━━━━━
📞 CALL & WHATSAPP:
0789 005 562
0765 005 562
⚠️ USIJENGE KWA KUBAHATISHA — JENGA KWA UFAHAMU.