Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

Ni namba 7, inafuatia namba 11, kisha 10, then 8, inakuja 9, inafuatia 6, halafu 5, kisha 4, inakuja 3, baadaye 2 kabla ya 1 na mwisho ni 0.
 
Toa jibu sasa tumechoka, Ila hàkuna maji yanayoingia kwenye chanzo.
Picha inàonyesha majihàyaingii kwenye tank #0.
 
Fast ukiapply bernourll's na archiemerds prinples itakuwa kama ifuatavo
7,11,10,3,8,4,9,5,6,12, halafu kitu cha 0 kinamalizia
7 haiwezi kujaa mpaka 11 na 10 zijae kwanza.

Common Sense Is Not Common.
 
KWELI HII LAZMA UWE GENIUS [emoji3]wengi humu wamewahi kuona picha lkn swali hawajalisoma swali kimakini[emoji3]pipa litakalo anza kujaa ni LAKWANZA[emoji3] kwasbb matenki yote yakiwa na maji
Huku maji yakiendelea kutoka namba sifuri ndio itajaa na mwishoe kumwagika maji vile hayana pakwenda[emoji3]
 
7 haiwezekani kwa sababu haipo point ya mwisho kwenye mzunguko, ona yakikaribia kujaa yanachukuliwa kuelekea namba 10 ambayo nalo limetobolewa kwa chini kulisha namba 11
7 itabidi ijae kwanza ndio ianze kupeleka kwenye 10
 
Yaani nimesoma maoni humu kila pipa limeelezwa na watu wamekosoa kwa point mubashara kabisa basi hapo hakuna litakalojaa maana kila pipa limeelezwa lakini wap!!![emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWELI HII LAZMA UWE GENIUS [emoji3]wengi humu wamewahi kuona picha lkn swali hawajalisoma swali kimakini[emoji3]pipa litakalo anza kujaa ni LAKWANZA[emoji3] kwasbb matenki yote yakiwa na maji
Huku maji yakiendelea kutoka namba sifuri ndio itajaa na mwishoe kumwagika maji vile hayana pakwenda[emoji3]
Sio la kwanza mkuu angalia vizur ilo pipa 0 juu lina sehemu la kutolea maji kwa iyo haliwezi kujaa mpaka mengine yajaye apo pipa litakalo jaa kwanza ni lile linaloingiza maji wakat huo huo halitoi Maji kwingine cheki vzr mapipa mengi apo yana sehemu za kutolea maji tena mengine yametobolewa chini kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
7 haiwezekani kwa sababu haipo point ya mwisho kwenye mzunguko, ona yakikaribia kujaa yanachukuliwa kuelekea namba 10 ambayo nalo limetobolewa kwa chini kulisha namba 11
Tunaweka assumption kwamba namba saba ikshajaa ndio yanenda namba kumi na kumi na moja mkuu, kwa hiyo namba 7 ndo litaanza kujaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom