Mzee wa Masauti
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 2,199
- 2,514
Hapo jibu ni 7
ni 7 mkuu kwa sababu tobo lake limewekwa juu kabisa tofauti na mengine hivyo haliwezi kulisha pipa lengine bila lenyewe kujaa7 haiwezekani kwa sababu haipo point ya mwisho kwenye mzunguko, ona yakikaribia kujaa yanachukuliwa kuelekea namba 10 ambayo nalo limetobolewa kwa chini kulisha namba 11
wacha maneno toa jibuukifeli challenge hii basi nakushauri upunguze kupiga puchu maana inapunguza IQ kwa kiwango kikubwa.
Hiyo ndio nini?My God!!! Kumbe puchu inapunguza IQ kuna mchangiaji kasema. Imehakikiwa kisayansi?
Sent using Jamii Forums mobile app
7Ndugu zangu habari za wakati huu?
Kati ya mapipa (tanks) haya, ni lipi unafikiri litakuwa la kwanza kujaa maji?
View attachment 554041
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mukuu haihitaji fiziksi... Umechemkaaaa!Namba 11
Pipa litakalo Anza kuja ni Pipa namba 11, Ukiangalia huyo plumber alivyoyatoboa hayo mapipa utaelewa kuwa pipa namba tatu linaruhusu maji kuelekea kwenye mapipa 7 na 10 kabla ya lenyewe kuja na kuruhusu maji kwenda kwenye kundi la mapipa yanayopokea maji kutoka 3, ambapo yanajengwa na pipa namba 4Ndugu zangu habari za wakati huu?
Kati ya mapipa (tanks) haya, ni lipi unafikiri litakuwa la kwanza kujaa maji?
View attachment 554041
Weee co yakikaribia kujaa, 7 likishajaa kwanza.... Then mengine ndo yanajazwa .... Tizama kwa umakin7 haiwezekani kwa sababu haipo point ya mwisho kwenye mzunguko, ona yakikaribia kujaa yanachukuliwa kuelekea namba 10 ambayo nalo limetobolewa kwa chini kulisha namba 11
Nakuona dawascoo ukojuu7 haiwezekani kwa sababu haipo point ya mwisho kwenye mzunguko, ona yakikaribia kujaa yanachukuliwa kuelekea namba 10 ambayo nalo limetobolewa kwa chini kulisha namba 11