john ndale
Member
- Sep 1, 2015
- 70
- 96
11
You're correct.Umechagua kekundu wewe !! acha marienge !! angalia namba 1 kwa chini limetobolewa kupeleka namba 3 hivi maji yakija hayewezi kwenda no. 2
Namba 2 inaweza kuwa ya mwisho kujaa kabla ya kuja hilo pipa linalolisha namba zote... Kumbuka namba 1 inalisha kwanza namba 3, hivyo sio lahisi namba mbili ijae kwanza.Mkuu sio number 2?
Lolote unaweza kujaa ya kwanza kutegemeana kiasi cha maji kinachohifadiwa kwa muda fulani. Lenye kiasi (discharge ) kubwa ambayo huhifadiwa ndo itajaa ya kwanzaNdugu zangu habari za wakati huu?
Kati ya mapipa (tanks) haya, ni lipi unafikiri litakuwa la kwanza kujaa maji?
View attachment 554041
hahahahaaaa poooa mzee wa chabo7 mzee wa chabo
ceteris peribus(other things remain constant)Inategemea na presha ya maji plus diameter ya outlet pipes.
Hata namba moja inaweza kujaa kwanza iwapo inlet presha > outlet pressure.
Nilinoa... sasa la 7 si halijai kabisa si yanamwagika yanaelekea kwa 11 ambalo ndilo linajaa vizuri[emoji818]
brain is the beautiful part of the body.