Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

11 kwa sababu namba 1 haliwezi kujaa mpaka namba 3 ila pia namba 3 haliwezi kujaa kama ilivyo namba 1kwa sababu yote mambo yake ya kuruhusu kutoa ili kugawa kwa pipa lingine yapo chini.

Namba 7 liwahi kujaa japo halitajaa mpaka juu kabisa kwa sababu litakuwa na kazi ya kujaza kwa namba 10 ambae atapeleka maji kwa namba 11 ambalo ndilo pipa la kwanza kujaa kisha mengine kufuata.
 
7 haiwezekani kwa sababu haipo point ya mwisho kwenye mzunguko, ona yakikaribia kujaa yanachukuliwa kuelekea namba 10 ambayo nalo limetobolewa kwa chini kulisha namba 11

We si utoe majibu yako halafu ukae pembeni. Nani kakupa kazi ya kusahihisha wengine? Kwanza logic yako pia bomu
 
Back
Top Bottom