Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 17,306
- 19,880
- Thread starter
- #81
Kwa haraka haraka jibu ni 7Kama ujazo wa Piper no.7 ni liter 500,halafu hiyo piper imeingia mpka kwenye liter 450 huoni kuwa hiyo no.7 itakuwa inakabilia na utolewaji wa maji mpka piper no 11 litapojaa ndipo pipe iruhisu maji yajae mpka kufikia liter 500
Mkuu, bila kupepesa macho wala kuwa GENIUS, pipa namba 7 ndilo la kwanza kujaa. Linapokea toka kwenye pointi ya chini ya pipa zilizotangulia kisha linagawa baada ya kujaa, ukikata hiyo outlet ya pipa 7 ukabakisha kipande, ni sawa na kuwa umeweka pointi ya kujua iwapo maji yatakuwa yamejaa kama hauna float switch, so 7 it is.Elewa swali.... Pipa lipi litakua la kwanza kujaa mkuu? No 7 lazima liwe la kwanza kujaa then ndo mengine yafate kulingana n uo mzunguko, upo? Au nkuulize.... Kabla ya no 7 kujaa, pipa gan litakua la kwanza kujaa kabla ya no 7?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtirirko sahihi ni huu 7-11-10-3-8-4-9-5-6-1-2-0Ndugu zangu habari za wakati huu?
Kati ya mapipa (tanks) haya, ni lipi unafikiri litakuwa la kwanza kujaa maji?
View attachment 554041
Hivi maji yanaweza kuanza kuingia kwenye 10 kabla hayajajaa kwenye saba kwanza? Note: kujaa haimaanishi hadi yafike kwenye kimdomo na kumwagika7 haiwezekani kwa sababu haipo point ya mwisho kwenye mzunguko, ona yakikaribia kujaa yanachukuliwa kuelekea namba 10 ambayo nalo limetobolewa kwa chini kulisha namba 11
hebu tembelea sehemu wanayotoa huduma ya maji(wale wenye matenki ambayo wanaweka juu kabsa)ama hata kwa jirani kama ameweka tank juu ya nyumba then chunguza utaona tobo lakutolea maji yanapojaa limewekwa wapiKama ujazo wa Piper no.7 ni liter 500,halafu hiyo piper imeingia mpka kwenye liter 450 huoni kuwa hiyo no.7 itakuwa inakabilia na utolewaji wa maji mpka piper no 11 litapojaa ndipo pipe iruhisu maji yajae mpka kufikia liter 500