Picha :TARURA ilala tunaomba mturekenishie kalavati

Picha :TARURA ilala tunaomba mturekenishie kalavati

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
852
Reaction score
1,805
Habarini ndugu zangu kwa masikitiko makubwa tuko kwenye uoga mkubwa sana. Eneo letu limekuwa na changamoto ya muda mrefu mvua kidogo tu maji yanajaa kwenye nyumba za watu.
Eneo hili lipo Majohe chuo rada mkoa wa Dar es salaam wilaya ya ilala hii barabara ni ya TARURA. ukiwa unatokea gongo la mboto unapitia chuo cha Kampala Kalavati zimejengwa ndogo na maji yanayopita ni mengi maana mvua ikinyesha hata kidogo maji yanaenda yanagonga chini ya kalavati alafu yanarudi kujaa kwenye nyumba za watu
kwa maelezo zaidi 0718408733
TARURA stands for the Tanzania Rural and Urban Roads Agency (in Swahili: Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini).
 

Attachments

  • 55699.jpeg
    55699.jpeg
    114.9 KB · Views: 8
  • 55698.jpeg
    55698.jpeg
    144.2 KB · Views: 9
  • 55697.jpeg
    55697.jpeg
    138.5 KB · Views: 8
  • 55696.jpeg
    55696.jpeg
    140.2 KB · Views: 6
  • 52027.jpeg
    52027.jpeg
    262.1 KB · Views: 8
  • 52026.jpeg
    52026.jpeg
    253.1 KB · Views: 11
yaani tarura hawa hawa wanaomiliki bstola za ma toy? hhaaaaaaa nimecheka kwa suti, bongo bahati mbaya sana.
 
Back
Top Bottom