Shareef Conscious
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 522
- 344
7Ndugu zangu habari za wakati huu?
Kati ya mapipa (tanks) haya, ni lipi unafikiri litakuwa la kwanza kujaa maji?
View attachment 554041
complicator, hata shule mlikuepo nyinyi swali dogo mnafanya kwa njia ndefu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Soma benullis principle uielewe vizuri
![]()
![]()
![]()
mkuu usicomplicate mambo, ukianza kuangalia mara sijui bomba halijalenga mdomo wa pipa basi hata mabomba yote pia yaliyowekwa hapo hayajalenga mapipa/tankBaada ya kufatilia kwa umakini sana nimegundua hamna tanki hata moja litakalojaa sababu ukiangalia tank 0 tap inamwaga maji nje maana yake hata ilo 0 haliwezi jaa sababu haliingizi hata tone ya maji na ndomaana mleta swali kaanza na tank 0 kwa maana nyingine alimanisha hamna maji yanaoingia.Maana yake km tank 0 halipokei hata toni basi matank yote yaliyobak nayo hayawez pokea maji.Mleta swali naomba mlejesho juu ya jibu langu.
Sent using Jamii Forums mobile app
11Ndugu zangu habari za wakati huu?
Kati ya mapipa (tanks) haya, ni lipi unafikiri litakuwa la kwanza kujaa maji?
View attachment 554041
Wewe unaliona rahisi ndio maana unalijibu kirahisi rahisi mwisho wa siku unaangukia pua. Mtunzi wa swali hili ametumia principle kulitunga ninyi mnalijibu kwa kudhania tuucomplicator, hata shule mlikuepo nyinyi swali dogo mnafanya kwa njia ndefu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Do Something 2day That Your Future Will Thank You 4
Fast ukiapply bernourll's na archiemerds prinples itakuwa kama ifuatavo7
Do Something 2day That Your Future Will Thank You 4
basi kama mtunzi/mleta mada aliconsider principle hizo watakaopata ni walioenda shule na wala sio magenious kama alivyotakaWewe unaliona rahisi ndio maana unalijibu kirahisi rahisi mwisho wa siku unaangukia pua. Mtunzi wa swali hili ametumia principle kulitunga ninyi mnalijibu kwa kudhania tuu