Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

Namba 7 halijatobolewa chini, maji yataanza kutoka kwenda namba 10 baada ya namba 7 kujaa. So nakubaliana na aliyesema namba 7
Level itakayojaa namba 7 na 11 ipi itakuwa juu? kwa maoni yangu namba 11 ndio itakayokuwa ya kwanza kuwa pomoni ndio yaliyobakia yataifikia level yake baada ya lenyewe kufurika wakati maji yakirudi nyuma kujaza mapipa yaliosalia
 
Mkuu 11 inategemea 10 kumi inategemea 7 angalia konection ya 10 kwenye saba..alafu fanya maamuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu 11 inategemea 10 kumi inategemea 7 angalia konection ya 10 kwenye saba..alafu fanya maamuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli 11 inategemea 10 na 10inategemea 7 lakini kwenye kujaa lazima 11 ijae kabisa sasa wakati pressure ya maji inarudi nyuma ndio ijaze 10 , 7 na kuendelea. Kumbuka 10 anamlisha 11 kupitia chini hivyo hawezi kujaa hadi 11 ashibe wakati anatapika ndipo 10 na saba nao watashiba vizuri
 
I think ni No.0... Coz nahisi pressure ya water inlet>kuliko outlet.

Mambo ya bomba kumwaga maji nje, diameters za outlet tuweke under assumptions.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom