cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
Sio kwa kufuta futa huko... ufuto haujakwisha
[emoji85][emoji85][emoji85]nlikuwa bado nafikiria nkagundua Ni 7Sio kwa kufuta futa huko... ufuto haujakwisha
Soma benullis principle uielewe vizuriTafuta nyumba yeyote yenye tank, angalia wapi wametoboa ili maji yakijaa yamwagike. Sayansi haina maana kama haiakisi uhalisia.
Sawa mkuuMkuu mimi sijui kitu hapo naona picha picha tu
Namba 11Ndugu zangu habari za wakati huu?
Kati ya mapipa (tanks) haya, ni lipi unafikiri litakuwa la kwanza kujaa maji?
View attachment 554041