RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,487
- 135,429
- Thread starter
- #61
Hio picha yako ni edited. Lakini wapo vijana wanaendesha gari mpaka 300kph hapa hapa Tz. Kwani wewe unafikiri inachukua sekunde ngapi BMW M3 au Golf 7/8 R au Audi S3 kufika 250 au 300kph? Zipo video sitaki kuziweka hapa zitawa expose wenyewe.Sio halisi hiyo picha ni ya ku edit. Hapa Bongo hkuna barabara ya kufikisha speed hiyo kabla hujakutana na kikwazo chochote kama tuta, kona, watumiaji wengine wa barabara n.k