Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,973
- 54,101
Pole aiseNilikuwa navuka kwenye Zebra Pale Banda la ngozi jamaa Yuko na Ist kidogo anibutue na matusi juu akanitukana Yuko spidi 120.
Wenzie wote wamesimama ila yeye Sasa
Pole aiseNilikuwa navuka kwenye Zebra Pale Banda la ngozi jamaa Yuko na Ist kidogo anibutue na matusi juu akanitukana Yuko spidi 120.
Wenzie wote wamesimama ila yeye Sasa
Kuna dogo nimempa X5 langu aendeshe, kila akiingia barabarani roho inadunda.Kuna jamaa namfahamu yuko kwenye wheel chair sasa hivi alipinduka na gari. Hatari sana.
At least huko system zinafanya kazi ukifanya ujinga dakika mbili wanakuzuia. Huku kwetu unapost hadi video unavunja sheria nobody cares.Kuna dogo nimempa X5 langu aendeshe, kila akiingia barabarani roho inadunda.
Ila yuko very responsible kwenye driving as far as I know.
At least huko system zinafanya kazi ukifanya ujinga dakika mbili wanakuzuia. Huku kwetu unapost hadi video unavunja sheria nobody cares.
Wa Die TuHello petrol heads!
Gen Z mnakimbiza sana magari. Mnahatarisha maisha yenu na maisha ya watumiaji wengine wa barabara. Hata sisi tulipokuwa vijana tulikuwa tunakimbia kiasi ila nyie mmezidi. Mbaya zaidi mmejifunza magari vichochorlni hamfuati wala kujua sheria na tahadhari za barabarani.
Imagine vijana wanakimbiaza magari mpaka 300kph tena wanafukuzana. Vijana mwendo huo kosa dogo tu utawaacha wapendwa wako na majonzi. Sijaweka video zao kwasababu ya privacy issues.
Balaa nimeona huko Instagram video an ni mbio tu kama weziHello petrol heads!
Gen Z mnakimbiza sana magari. Mnahatarisha maisha yenu na maisha ya watumiaji wengine wa barabara. Hata sisi tulipokuwa vijana tulikuwa tunakimbia kiasi ila nyie mmezidi. Mbaya zaidi mmejifunza magari vichochorlni hamfuati wala kujua sheria na tahadhari za barabarani.
Imagine vijana wanakimbiaza magari mpaka 300kph tena wanafukuzana. Vijana mwendo huo kosa dogo tu utawaacha wapendwa wako na majonzi. Sijaweka video zao kwasababu ya privacy issues.
Ndio kwa sasa league ni wajermani na wajapani,,sasa huku kwa wajapani ni crown kwa sababu sijui ni gari pendwa kwa vijana,,wao wanakuvizia TU shwaaaa harafu wanapost hatakama ulikuwa na safari zako kivyako wanasema mjerumani amekalishwa.Unaweza kukuta wamepost wanakupita utafikiri ulikubaliana nao kwamba mnashindana.
Crown madereva wengi ni vijana malimbukeni.Ndio kwa sasa league ni wajermani na wajapani,,sasa huku kwa wajapani ni crown kwa sababu sijui ni gari pendwa kwa vijana,,wao wanakuvizia TU shwaaaa harafu wanapost hatakama ulikuwa na safari zako kivyako wanasema mjerumani amekalishwa.
😀😀😀 Gen Z wana vituko sana.Halafu kuna issue siku hizi uko barabarani mdogo mdogo huna Habari wala mood ya kukimbia, linatokea gari huko nyuma linakupita as if mlikuwa mmepanga ligi ya kushindana, akiona Huna interest na mbio basi na yeye anapunguza mnakwenda taratibu, anaweza hata akakusubiri mahali, nahisi hata kurikodi pia wanarikodi ili Tu wajisifu yaani ilimradi Tu mkatoane roho barabarani...