Kubwa la Maadui
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,032
- 15,898
Mnara ulianguka kwa sababu ulikuwa umejengwa vibaya. Kituo cha Anga hakijanguki kwa sababu hakikujengwa vibaya.
Watakuja kukupiga mawe sasa hivi, tena wengi wao hata ISS yenyewe hawaijuiMnara ulianguka kwa sababu ulikuwa umejengwa vibaya. Kituo cha Anga hakijanguki kwa sababu hakikujengwa vibaya.
Na nikisema kizazi cha mwisho namaanisha kizazi kilicho on self-destruct mode.Shetani umekuja tena, chupa mpya mvunyo wa zamani, hivi hunaga mbinu mpya ewe ibilisi zaidi ya hiyo ya ku twist maneno ya Mungu? ?
Mungu alisema mzae muijaze dunia.
Watu wa babeli wakasema tusitawanyike duniani tukae wote hapa.
Kwanini mnaena kinyume na maagizo ya Bwana? Mnajua mantiki Mungu ku delay Globalization?
Hamuoni baada ya globalisation finally kizazi cha mwisho kimefika?
Wangeachwa wale wangekufa wote in a few generations! YESU asingeweza kuja na tunaotaka kuishi milele na MUNGU tusingepata hiyo nafasi.
Na Mungu alikuwa anatusaidia watoto wake ku collect ma evidence. Yani ali shift gears ili sisi huku tupate data. Si unajua ni ushahidi wa watu wawili watatu ndio unathaminiwa? Kwa kifupi Bwana alicheza kama Pele ukiwa kiazi unapitwa!
"Ndipo wakasema, “Njooni, tujijengee mji wenye mnara ambao utafika hadi mbinguni, ili tujipatie jina, tusije tukatawanyika duniani kote."
Mwanzo.11.4.NENO2025
"Bwana akasema, “Ikiwa kama taifa moja wanaozungumza lugha moja wameanza kufanya hili, basi hakuna lolote watakalopanga kufanya ambalo halitawezekana kwao.
Njooni, tushuke tuvuruge lugha yao ili wasielewane wao kwa wao.""
Mwanzo.11.6-7.NENO2025
Leta hilo andiko mkuuMnara ulianguka kwa sababu ulikuwa umejengwa vibaya. Kituo cha Anga hakijanguki kwa sababu hakikujengwa vibaya.
Kizazi hiki hakitapita hata hayo yote yatimie. ni maneno ya YESU hicho kizazi ni kipi mkuu!Na nikisema kizazi cha mwisho namaanisha kizazi kilicho on self-destruct mode.
YESU alisema:Kizazi hiki hakitapita hata hayo yote yatimie. ni maneno ya YESU hicho kizazi ni kipi mkuu!
YESU alisema:
[COLOR=rgb(41 105, 176)]"Vivyo hivyo, mnapoyaona mambo haya yote, mtambue kwamba wakati u karibu, hata malangoni.
Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia."[/COLOR]
Mathayo.24.33-34.NENO2025
Mnapoyaona mambo haya yote!
Niambie ni wakati gani kwenye historia waliona mambo haya yote aliyoyataja?
Ni wakati gani Injili ilihubiriwa duniani kote?
Ni wakati gani wafuasi wa Yesu walichukiwa na mataifa yote?
Ni wakati gani kulikuwa na manabii wengi wa uongo?
Ni wakati gani tuliona matetemeko ya ardhi sehemu mbalimbali at once?
Ni wakati gani uovu uliongezeka na upendo wa wengi kupoa?
Israeli imefananishwa na mtini kwenye Biblia. Na YESU akasema "matawi yake yanapoanza kuchipua na kutoa majani, mnatambua kwamba wakati wa kiangazi umekaribia."
Tangu taifa la Israeli lirudi mwaka 1948 (kwa wakati
Ukinijibu hapa kesho nakuja kanisaniShetani umekuja tena, chupa mpya mvunyo wa zamani, hivi hunaga mbinu mpya ewe ibilisi zaidi ya hiyo ya ku twist maneno ya Mungu? ?
Mungu alisema mzae muijaze dunia.
Watu wa babeli wakasema tusitawanyike duniani tukae wote hapa.
Kwanini mnaenda kinyume na maagizo ya Bwana?
Mnajua mantiki Mungu ku delay Globalization?
Hamuoni baada ya globalisation finally kizazi cha mwisho kimefika?
Wangeachwa wale wangekufa wote in a few generations! YESU asingeweza kuja na tunaotaka kuishi milele na MUNGU tusingepata hiyo nafasi.
Na Mungu alikuwa anatusaidia watoto wake ku collect ma evidence. Yani ali shift gears ili sisi huku tupate data. Si unajua ni ushahidi wa watu wawili watatu ndio unathaminiwa? Kwa kifupi Bwana alicheza kama Pele ukiwa kiazi unapitwa!
"Ndipo wakasema, “Njooni, tujijengee mji wenye mnara ambao utafika hadi mbinguni, ili tujipatie jina, tusije tukatawanyika duniani kote."
Mwanzo.11.4.NENO2025
"Bwana akasema, “Ikiwa kama taifa moja wanaozungumza lugha moja wameanza kufanya hili, basi hakuna lolote watakalopanga kufanya ambalo halitawezekana kwao.
Njooni, tushuke tuvuruge lugha yao ili wasielewane wao kwa wao.""
Mwanzo.11.6-7.NENO2025
Hii ndo hoja Yako, stuka wewe kondooHuamini kwasababu una tabia za kichoko.
Sawa kwann hazuii utengenezaji wa hizo satelliteMnara haukuanguka.
Lugha ndio zilibadilika ma hapohapo kazi haikuendelea. Ndio msingi wa stori ulipo.
Hiyo kuanguka umeleta wewe.
Mambo yenye kuleta mabadiliko kwa maisha duniani ni mipango ya Mungu katika kuwatumia watu,nachoamini huko mbeleni itafikia mda there will be No death and No Reproduction forever,think deep &wideinterresting. Johanes kepler alikuwa devouted Christian, halfu low iq anayeshi leo anakuja kukejeli Christianity wakati lawas of physics zinazotumiwa leo hii kwenda space zilikuwa formulated na Christians, J.kepler, Isaac Newton wote walikuwa devout Christians ...