Gen Z Mnakimbiza sana Magari!

Gen Z Mnakimbiza sana Magari!

Ulisha ambiwa Tanzania hatuna barabara za kuendesha 300kms.
Highway zetu ZIMEJAA MATUTA na hapo bado kona kila kms 2-5 hiyo 300 utaendeshea wapi labda angani...
Huijui Tanzania yote. Kama wewe hujawahi au huwezi usiseme haiwezekani. Na huu uzi nimefungua kuwatahadharisha wanaofanya hivyo ni hatari kwao na watumiaji mengine wa barabara.
 
Adrenaline rush.

Baadae wakishayakanyaga, waulize kwa nini ulikumba mbio hivyo?

Majibu hawana.

Kuna magari automatically ukiwa unaendesha upo speed, lakini chuma bado inaita. Huoni tofauti kabisa.

Kuna siku, nilikuwa naendesha.
Sioni kama nakimbia, baadae nachungulia dashboard na mawani yangu, nipo speed ambayo kwa hakika sikuitarajia.

Ilinibidi nisimame, niheme kwa nguvu. I was worried. Nisingethubutu kufika huko kama my eyes were on the speedometer.
Ilikuwa inasoma ngapi Mkuu?
 
Hio picha yako ni edited. Lakini wapo vijana wanaendesha gari mpaka 300kph hapa hapa Tz. Kwani wewe unafikiri inachukua sekunde ngapi BMW M3 au Golf 7/8 R au Audi S3 kufika 250 au 300kph? Zipo video sitaki kuziweka hapa zitawa expose wenyewe.
Na Mimi niliziona ila wapo sahihi mjerumani ni hatari
 
Back
Top Bottom