Gen Z Mnakimbiza sana Magari!

Gen Z Mnakimbiza sana Magari!

Hello petrol heads!
Gen Z mnakimbiza sana magari. Mnahatarisha maisha yenu na maisha ya watumiaji wengine wa barabara. Hata sisi tulipokuwa vijana tulikuwa tunakimbia kiasi ila nyie mmezidi. Mbaya zaidi mmejifunza magari vichochorlni hamfuati wala kujua sheria na tahadhari za barabarani.
Imagine vijana wanakimbiaza magari mpaka 300kph tena wanafukuzana. Vijana mwendo huo kosa dogo tu utawaacha wapendwa wako na majonzi. Sijaweka video zao kwasababu ya privacy issues.
Just YOLO’ing ’cause of peer pressure ’n dead laws, all for attention. Wanapukutishwa kweli, halafu majonzi yanabaki kwa familia wanazoacha nyuma.
 
Isanga family hivi hawa Gen Z wanakimbiza mikweche kwa barabara zipi?
Gen z wanakimbiza gari mjini tu ila ukiwa nao masafa wanasota balaa tunaponyata mjini tusisababishe ajali za kijinga wao muda wote wana haraka..
Sehemu za muingiliano wa bara bara mbili ajali kitu cha kawaida tu hata wakiwa speed ndogo wanaamini wakiwa bara bara kubwa hawatakiwi kusubiri ni kama madereva boda boda tu nao..
 
Mkuu huko highway wanakimbia sana. Vijana wanaendesha hadi 300kph na gari za Mjerumani. Nakumbuka zamani kuna kijana alijipost anaendesha Mark X 180kph ilionekana ni ajabu sana wakati sasa hivi ndio kawaida ya vijana wanaoendesha Toyota Crown
 
Kama unazungumzia video hii Mkuu. Hapa kuna editing imefanyika, hatuna barabara ambayo utafika 300kph kwa rpms elfu 4 mkuu.
 
Attachments

  • IMG_0978.png
    IMG_0978.png
    1.5 MB · Views: 2
Unaweza kukuta wamepost wanakupita utafikiri ulikubaliana nao kwamba mnashindana.
Mimi ni 50yrs minus 2 naendesha subaru forester xt. Nikiwa barabarani napata shida sana na vijana wa crown, subaru na harrier wote wanajuaga nipo kwenye ligi zao naishia kuchomekewa unnecessarily wakidhan nipo kwenye ligi zao
 
Watu wazima wanaoendesha Crown na Subaru wanachukuliwa vibaya. Kiuhalisia Crown ni gari ya watu wazima mpaka wazee sio vijana ila Tz gari yoyote anaendesha mtu yeyote.
 
kuna jambo huwa linanishangaza nikiwa road, unaikuta gari kwenye mwendo wa kawaida ukimwashia indicator ku overtake ni kama umemwomba ligi. Hata kama anaendesha chuma cha 650cc ni vurugu tu. Vijana wanakimbiza bila tahadhari barabara zimejaa mashimo
Kuna sticker unakuta imebamdikwa kwenye gari kwa nyuma imeandikwa 'OVERTAKE ME,WE RACE' Hii ndio mentality ya vijana.
Ila mimi niko highway nimeendesha mwendo wangu halafu mtu katoka huko kanikuta ananiovateki siwezi kushindana nae kwasababu ni obvious he is driving way faster than. Me
 
Back
Top Bottom