RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,487
- 135,429
- Thread starter
- #81
Huo mwendo kwa hayo magari unaona ni kawaida mpaka kitokee kitu ndio utajua ni mwendo wa hatari.Mimi niliwahi ona mwaka 2020 kwenye Golf GTI speed 200 ni kitu kidogo sana kwa gari zenye uwezo. Imagine tulifika 200+ na tukaachwa na gari fulanj hivi sikuijua jina lake ila inakaa watu wawili tu na ilipita kama upepo.
Siku hizi naweza kwenda Dar to Dom au Dar Arusha bila kuvuka 120kph. Halafu cha ajabu unatumia muda ule ule au tofauti ya dakika 10-30 na mtu anaeenda mwendo wa ngiri.