RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,487
- 135,430
Hello petrol heads!
Gen Z mnakimbiza sana magari. Mnahatarisha maisha yenu na maisha ya watumiaji wengine wa barabara. Hata sisi tulipokuwa vijana tulikuwa tunakimbia kiasi ila nyie mmezidi. Mbaya zaidi mmejifunza magari vichochorlni hamfuati wala kujua sheria na tahadhari za barabarani.
Imagine vijana wanakimbiaza magari mpaka 300kph tena wanafukuzana. Vijana mwendo huo kosa dogo tu utawaacha wapendwa wako na majonzi. Sijaweka video zao kwasababu ya privacy issues.