Gwallo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 3,222
- 3,829
Nadhani hivi vina ni zaidi ya 7 mkuuHawa watu wa Lumumba wana vina-saba vya rushwa!!

Hiyo iko hivi... Watch at your own risk...Mkuu wa wilaya ya Gairo amemtuhumu mwenyekiti wa CCM wa wilaya kwamba amehongwa gari na mbunge Ahmed Shabiby ili wambebe kwenye uchaguzi. Mkuu wa wilaya amewataka Takukuru wamshughulikie mwenyekiti huyo.
Naye mwenyekiti wa CCM amesema gari hilo hajahongwa na Shabiby kama inavyodaiwa bali amenunuliwa na waziri wa Katiba na sheria Dr Mwigullu Nchemba. Mwenyekiti amesema yeye pia ni msaidizi wa Dkt. Mwigulu jimboni Iramba akisimamia mahusiano ya mbunge na Waislamu hivyo amenunuliwa gari hiyo kama kitendea kazi.
Kuhusu kuchunguzwa mwenyekiti amesema ni kweli aliitwa Takukuru wilayani na wakamwambia tuhuma hizo ni za kisiasa hivyo jalada limepelekwa Dodoma ambako alihojiwa Ijumaa iliyopita na sasa anasubiri majibu.
Mwisho mwenyekiti amebainisha kuwa mkuu wa wilaya ni mtu mkorofi na kwamba anataka kugombea ubunge wa jimbo hilo na kila wakati amekuwa anawatisha kwamba yeye ana ulinzi wa kigogo aliye juu.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Yaani 'wachinjiliwe' mbali kwa TUHUMA tu?... kwa tuhuma hizo yeye DC, Shabiby, Mwigulu, na huyo Mwenyeki wa CCM (W) wanatakiwa "kuchinjiwa" mbali kabisa huko wafutwe kabisa uanachama. Akisimamia "mahusiano na waislamu"! Kuna cheo cha aina hiyo siku hizi hadi kununuliwa gari la kutekeleza jukumu hilo?
Anakubalika ndiyo maanaShabiby awaachie na wengine ebo
Anatakiwa ajitafakari sanaDc huko mbona kila mtu haelewani naye
Ova
sijui wakulima watasemajeAnakubalika ndiyo maana
Huwez kumtoa shabiby gairoHii ishu nimpongeza sana mkuu wa wilaya, Shabiby astaafu, mwigulu ajisafishe hii ni aibu hasa kipengele cha dini! Mwenyekiti bye bye, Mtu pesa na siasa pesa mjiandae maumivu makali yaja
Mataga huna pointKwani Kigogo wa Twitter anasemaje juu ya hili?
Ana tabu kwelii maana hadi house gal wake hawapataniDc huko mbona kila mtu haelewani naye
Ova
Mkuu wa wilaya ya Gairo amemtuhumu mwenyekiti wa CCM wa wilaya kwamba amehongwa gari na mbunge Ahmed Shabiby ili wambebe kwenye uchaguzi. Mkuu wa wilaya amewataka Takukuru wamshughulikie mwenyekiti huyo.
Naye mwenyekiti wa CCM amesema gari hilo hajahongwa na Shabiby kama inavyodaiwa bali amenunuliwa na waziri wa Katiba na sheria Dr Mwigullu Nchemba. Mwenyekiti amesema yeye pia ni msaidizi wa Dkt. Mwigulu jimboni Iramba akisimamia mahusiano ya mbunge na Waislamu hivyo amenunuliwa gari hiyo kama kitendea kazi.
Kuhusu kuchunguzwa mwenyekiti amesema ni kweli aliitwa Takukuru wilayani na wakamwambia tuhuma hizo ni za kisiasa hivyo jalada limepelekwa Dodoma ambako alihojiwa Ijumaa iliyopita na sasa anasubiri majibu.
Mwisho mwenyekiti amebainisha kuwa mkuu wa wilaya ni mtu mkorofi na kwamba anataka kugombea ubunge wa jimbo hilo na kila wakati amekuwa anawatisha kwamba yeye ana ulinzi wa kigogo aliye juu.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Kazi imeanza ccm oyeeeMkuu wa wilaya ya Gairo amemtuhumu mwenyekiti wa CCM wa wilaya kwamba amehongwa gari na mbunge Ahmed Shabiby ili wambebe kwenye uchaguzi. Mkuu wa wilaya amewataka Takukuru wamshughulikie mwenyekiti huyo.
Naye mwenyekiti wa CCM amesema gari hilo hajahongwa na Shabiby kama inavyodaiwa bali amenunuliwa na waziri wa Katiba na sheria Dr Mwigullu Nchemba. Mwenyekiti amesema yeye pia ni msaidizi wa Dkt. Mwigulu jimboni Iramba akisimamia mahusiano ya mbunge na Waislamu hivyo amenunuliwa gari hiyo kama kitendea kazi.
Kuhusu kuchunguzwa mwenyekiti amesema ni kweli aliitwa Takukuru wilayani na wakamwambia tuhuma hizo ni za kisiasa hivyo jalada limepelekwa Dodoma ambako alihojiwa Ijumaa iliyopita na sasa anasubiri majibu.
Mwisho mwenyekiti amebainisha kuwa mkuu wa wilaya ni mtu mkorofi na kwamba anataka kugombea ubunge wa jimbo hilo na kila wakati amekuwa anawatisha kwamba yeye ana ulinzi wa kigogo aliye juu.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
ndiyo gari aliyopewagari yenyewe ni aina gan ukute ni passo watu roho zinawauma
Bwashee usikariri!Huwez kumtoa shabiby gairo
Ova
Gairo naijua nje ndaniBwashee usikariri!
mm nawaogopa wa Nguu sana, km utaweza kuishi ukanda huu, uwe na roho ngumuNishawahi Kuingia kwenye 18 zke
Ila nlichomoka kwa kutumia ualwatan
Ila huko gairo ni shida
Haelewani na kila mtu
Ova
mkuu kweli makabila ya kimbea verosa tu tena inakunywa mafuta hiyo six cylinder roho mbaya hiyoVerossa
ndiyo gari aliyopewa
lkn jua hivi viMiji km Gairo vinatawaliwa sana na majungu
naona ni makabila yanayozunguka eneo hilo